Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
- Thread starter
- #21
Ntakutumia telegram darlin'weee...hongera sana..ukiwa nayo serious inalipa...utume bas tuone kazi zako
Ntakutumia telegram darlin'weee...hongera sana..ukiwa nayo serious inalipa...utume bas tuone kazi zako
Nitumie na mimi nikuuze hii kazi yanguNtakutumia telegram darlin'
Kwa namba ileile chief??!Nitumie na mimi nikuuze hii kazi yangu
Asante kwa somo zuri, vp utunzaji na inakaa muda gani kabla ya kuexpireHelloowww mabibi na mabwana,wakaka kwa wadada...hope mko pooa kabisaa kuelekea mapumziko ya mwisho wa wiki..
Kama ilivyo ada watu hatuachi kuhangaika na kujifunza mambo mbalimbali katika maisha yetu ya kila siku,.basi na Mimi leo nimeona si vibaya niki-share na wajasiriamali wenzangu utengenezaji huu wa rangi ya maji ya ukutani..
Mie nasema hivi;kizuri shea na mwenzio...
Haya tuanze na hatua ya awali kabisa ya utengenezaji huu wa rangi ya maji
*Andaa chombo cha plastiki kama pipa
*Andaa maji safi
*Andaa mwiko mkubwa wa kukorogea
*Andaa malighafi zako
*Andaa mask kwa kujifunika machoni,puani na mdomoni(vifaa kinga)
Aina za malighafi tutakazo tumia na vipimo vyetu
1.NH3....gram150
2.Maji....lita 40
3.Tyles....gram500
4.T 102...kilo 41/4
5.Chaki....kilo80
6.Antiform....gram150
7.Emaltex....kilo7
8.Preservative...gram500
Hatua ya pili..
Hakikisha umevaa mask na gloves kujikinga wakati wa utengenezaji huu
Haya tunaendelea...
Weka preservative namba 8 kwenye chombo chako cha plastiki na uanze kukoroga taratibu ikifuatiwa na malighafi hizi namba 1 weka huku ukiendelea kukoroga,weka namba 6 huku ukikoroga,weka namba 7 hapa tumia nguvu kidogo kukoroga mchanganyiko wako,weka namba 3,4,5 na mwisho unamalizia na namba 2 mwishoni ambayo ni maji..
Endelea kukoroga mpaka utakapoona mchanganyiko wako umekuwa mzito,kisha funika vizuuuri na nasubiri kwa muda wa nusu saa...
Hatua ya tatu na mwisho
Andaa makopo yako(plastic containers)kulingana na vipimo vyako na ujazo utakaopendelea...na mpaka hapo itakuwa tayari kwa kutumiwa kwa matumizi mbalimbali
Mpaka hapo sina la ziada,.nna imani tumepata kitu japo kidogo..Mungu awabariki,.
ANGALIZO:ukiwa unafanya shughuli hii hakikisha watoto wadogo hawawezi kufika eneo hilo.TUWAJALI WATOTO WETU.
"Ujuzi hauzeeki".
Ni ya kawaida,.Thanks kwa ujuzi, hujaeleza ni type gani ya rangi ni silky Au hi-glossy ya kawaida?
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuifunguwa kuitumia haitakiwi kuwa wazi kwa muda mrefu kuepuka kuganda,.na inaweza kudumu kwa zaidi ya miezi 2 bila kuharibika..Asante kwa somo zuri, vp utunzaji na inakaa muda gani kabla ya kuexpire
Asante sana mkuuBaada ya kuifunguwa kuitumia haitakiwi kuwa wazi kwa muda mrefu kuepuka kuganda,.na inaweza kudumu kwa zaidi ya miezi 2 bila kuharibika..
Karibu mkuu.Asante sana mkuu
Ile inasumbua tumia hile nyingine dada yangu?Kwa namba ileile chief??!
Sawa kaka wangu..nitafanya hivyo'Ile inasumbua tumia hile nyingine dada yangu?
Kuna utofauti kidogo,.hasa wa malighafi
Sasa mother mfano nataka rangi kopo moja ambalo ni alfu 15000 je maandalizi ya kuandaa hii rangi haito,idi hiyo pesa ya rangi?Kuna utofauti kidogo,.hasa wa malighafi
Dah mkuu ni.eumia sana huyu mother kukuita darlin nimeumia sana yani sijui kwa nini.Nitumie na mimi nikuuze hii kazi yangu
Itazidi my dear,.kwasababu malighafi zingine huwezi kizinunua robo au nusu,.Sasa mother mfano nataka rangi kopo moja ambalo ni alfu 15000 je maandalizi ya kuandaa hii rangi haito,idi hiyo pesa ya rangi?
Nipige deki ipi jomoniii😎Ni mpaka rangi mzuri sana mkuu(piga dekiii)
Material uloainisha hapo juu zote zinacost sh ngapi?Itazidi my dear,.kwasababu malighafi zingine huwezi kizinunua robo au nusu,.