Habari ndugu zangu..!
Watu wengi hujiuliza pesa inatengenezewa wapi? na wengi kusema pesa hutengenezwa nchi za nje
Kwanza ni kweli hela zinatengenezwa nje lakini hii ni sababu tu kwa namna flani watu weusi kiakili hatuko sawa yani ni wavivu wavivu tu kuumiza vichwa, na huu ni ukweli mchungu na huwa tunajifaliji tu kujilinganisha na watu weupe ukweli tumeachwa mbali
Shida ya kutengenezea pesa nje. sababu ni vifaa tu na hamna kingine na vifaa vingekuwepo hivyo pesa ingetengenzwa hapahapa, kutengenezwa mbali ni uvivu tu
Wengi hufikili kule zilikotengenezwa ndio kuna vizuizi flani flani pesa isitengenezwa nyingi ya kutosha ili ikizi mahitaji ya taifa. lakini hili si kweli?.
Na kwanini sio kweli. pesa ikitengenezwa nyingi itashuka thamani ya bidhaa, (navielewa vichwa vya watu weusi mpaka niweke sawa ndio waelewe) kushuka kwa thamani ya pesa, ni mtajikuta kitu kidogo tu utahitajika utoe mihela mingi kweli ili ukipate hicho kwaio mtajikuta hamna mlichofanya zaidi ya kujipa mzigo tu, TV ya laki3 utajikuta unabeba gunia la hela.
Hitimisho...!
Hela hata hapa hapa zinawezwa kuchapishwa na hata huko nje mnaweza kuamua nyie hela yenu ichapishwe noti ngapi tena za hiyo elfu kumi, ila sasa mtakuja mjionee hiyo mnayoiita teni inavyokuwa kama uchafu wa dampo
Ni hayo tu kwa heli...!