Hivi vyote ukilinganisha gharama ya kuvinunua mbona kama haina tofauti na kununua mifuko miwili ya chakula cha dukani?. Hii maabara ya intertec wapo kurasini tumeambiwa inapima vitu vingi hebu wadau kawacheki yawezekana wakawa msaada kwetu wajasiliamali. Mkuu chasha,mama joe hebu ongea na wadau tuchange hela tununue mashine yetu ya kusaga chakula cha kuku kinasagwa alafu mdau anatumiwa mifuko yake anayohitaji popote alipo alipie nauli tu.kama ikionekana usafili ni gharama tunagawa zoni wa mwanza mashine yao, mbeya mashine yao, dar mashine yao, arusha mashine yao, au hizi mashine zinauzwa mabilioni?Karibuni hapa tupeane mawazo/ujuzi/mbinu za kutengeneza chakula cha kuku tajwa mimi huwa natengeneza hivi kwa kuchanganya vifuatavyo na huwa kuku wa kienyeji wanataga balaa..
1.Chenga za mahindi(kubarazwa) kg 30
2.Mtama Kg 10
3.Pumba za mahindi Kg 21
4.Dagaa(Kubarazwa) Kg 15
5.Mashudu(alizeti kubarazwa) Kg 20
6.Premix Kg 0.5
7.Chumvi Kg 0.5
8.Chokaa Kg 3
Jumla Kg 100
hiyo plemix ni nn?
Mkuu, mbona hao kuku si watanenepa sana? Kutaga itakuwa shida.Karibuni hapa tupeane mawazo/ujuzi/mbinu za kutengeneza chakula cha kuku tajwa mimi huwa natengeneza hivi kwa kuchanganya vifuatavyo na huwa kuku wa kienyeji wanataga balaa..
1.Chenga za mahindi(kubarazwa) kg 30
2.Mtama Kg 10
3.Pumba za mahindi Kg 21
4.Dagaa(Kubarazwa) Kg 15
5.Mashudu(alizeti kubarazwa) Kg 20
6.Premix Kg 0.5
7.Chumvi Kg 0.5
8.Chokaa Kg 3
Jumla Kg 100
Anzisha kwanza chama. Kama ilivyo vyama vya ushirika katika mazaoHivi vyote ukilinganisha gharama ya kuvinunua mbona kama haina tofauti na kununua mifuko miwili ya chakula cha dukani?. Hii maabara ya intertec wapo kurasini tumeambiwa inapima vitu vingi hebu wadau kawacheki yawezekana wakawa msaada kwetu wajasiliamali. Mkuu chasha,mama joe hebu ongea na wadau tuchange hela tununue mashine yetu ya kusaga chakula cha kuku kinasagwa alafu mdau anatumiwa mifuko yake anayohitaji popote alipo alipie nauli tu.kama ikionekana usafili ni gharama tunagawa zoni wa mwanza mashine yao, mbeya mashine yao, dar mashine yao, arusha mashine yao, au hizi mashine zinauzwa mabilioni?
Vipi mkuu na wewe uwa unapeleka sample zako Naivasha kupima DCP?Karibuni hapa tupeane mawazo/ujuzi/mbinu za kutengeneza chakula cha kuku tajwa mimi huwa natengeneza hivi kwa kuchanganya vifuatavyo na huwa kuku wa kienyeji wanataga balaa..
1.Chenga za mahindi(kubarazwa) kg 30
2.Mtama Kg 10
3.Pumba za mahindi Kg 21
4.Dagaa(Kubarazwa) Kg 15
5.Mashudu(alizeti kubarazwa) Kg 20
6.Premix Kg 0.5
7.Chumvi Kg 0.5
8.Chokaa Kg 3
Jumla Kg 100
Kenya sehemu ganiMkuu kwa anaye taka kupelekewa kwenye Maabala ya Nairobi Kenya tunaweza wasiliana make sijajua kwa Tanzania kama kuna Maabara hata ya Serikali ya Kupima DCP, ila kwa kwenye wao wanayo na unalipia kama TSH 18000 Za Bongo,