Hesima kwenu Wadau wa JF.
Nina wazo la kutengeneza chaki na kuziuza mashuleni. Sasa naomben msaada, CHALKS MOULD INAUZWA SHILINGI NGP?(umbo la kutengeza chaki) AU MASHINE INAUZWA SH ngp? Na ni wap inaptikana?

FOB Price:US $1,000 - US $3,000 / Piece
Min. Order:1 PieceProduction Capacity:100
Package:Wooden Package
Payment Terms:L/C, T/T, Western Union View more details
mbona unaishia njiani? wengine tulitaka kuufahamu na huo mchanganyiko wake ni udongo au chokaa kabisa.
Huko Manyoni kuna viwanda bya watu binafsi kwa hiyo jamaa yangu ABDUL sungita usikate tamaa hata SIDO watakusaidia jm si humuhumu/
Zipo sido mkuu wala usihofu zinapatika kwa bei nafuu sana ,
SIDO TDC MOSHI uhakika na mafunzo ya utengenezaji chaki wanakupa na hata namna ya kuifanyia matengenezo madogo()