Utendaji wa tume zetu na mustakabali wa taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utendaji wa tume zetu na mustakabali wa taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by emmathy, Mar 13, 2011.

 1. emmathy

  emmathy Senior Member

  #1
  Mar 13, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nimejaribu kuangalia tume nyingi zinazoundwa hapa tz hasa chini ya serikali nakugundua nyingi hazina tija zaidi ya watu kujinufaisha kwa kupata posho. Punde majanga yanapotokea au ubadhilifu unapotokea kimbilio la kwanza nitume, je wana jf wenzangu ni kweli tume ndio suluhisho?
  Nilisikia tume yakushughulikia kama sikupitia mikataba yamadini-uwapi utekelezaji wake hasa ktk kuwaletea wananchi unafuu wa maisha hasa waishio jirani namigodi.
  Tume ya kushughulikia kama si kuangalia mishahara yawatumishi wa umma-leo hii vp watumishi wa umma wamefaidika nini na tume hiyo?
  Naambiwa baada ya milipuko ya mabomu mbagala tume iliundwa- hatuhitaji kujua nini waligundua chanzo(mana wanasema mambo ya usalama wataifa) iweje leo hii ndugu zetu wa GOMS yawakute tena yamilipuko? Wanasema wameunda tume kuangalia chanzo-sina hakika kama italeta tija.
  Nionavyo mimi tume hiz tuangalia wajumbe wake nauzalendo wao kwa nchi badala ya ukada wao naukalibu wao kwa wanaowateua au vinginevyo tusiunde tume kabisa.
  Nikiwa nimepata ufahamu kidogo wakuchambua mambo kidogo naona Tume ilioundwa chini ya bunge ''KUCHUNGUZA MKATABA WA RICHMOND'' ilifanya kaz sawasawa namatarajio yawatanzania ingawa mpaka leo wajumbe wale jinamiz lamatokeo ya tume bado linawaandama najitihada zinaendelea ili waonekane walidanya umma sababu huwakutoa majibu yaliyowapendeza wakubwa.
  Je kwa mwenendo huu wa tume kama kiini/chombo chakutatua matatizo(serikali inavyoamini) tuendelee nazo? Nawasilisha wana JF
   
 2. m

  mzambia JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Ulizia tume ya kisanga, tume ya nyalali, na tume ya warioba majibu yao yamewekwa wapi mbona kimya mpaka leo?
   
Loading...