Utendaji wa Rais Magufuli hadi sasa umekuridhisha?

Utendaji wa Rais Magufuli hadi sasa, umekuridhisha?


  • Total voters
    10
Sasa hivi wapinzani sio ukawa, bali ni mafisadi na majipu waliokuwa wananufaika na udhaifu wa awamu iliyopita
 
Kwangu 20% ahadi alizotoa bado haja timiza nimapema sana ninaloliona hapa ni elimu bure na majipu tu hamna lingine lililo kwenye ahadi limetimizwa kwa upande wa zanzibar utatuzi wake nimeona tu atakayeleta fyoko fyoko cjui my be tumpe muda
 
Back
Top Bottom