Planner
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 348
- 149
Wadau,
Nayaandika haya baada ya kupata mrejesho kutoka kwa mdau wangu ambaye anajishughulisha na masuala ta utafiti.
Mdau alituma maombi kwa kwwnda physically miezi 8 iliyopita akiomba kibali cha tafiti a.k. a approval ya protocol.Maajabu anayokutana nayo ni kua kila anapopiga simu au kwenda anapata majibu ya ajabu mara anayemkuta mhusika kwa maana ya incharge wa kitengo aseme hajui kitu siku ingine anakuta wasaidizi wa mkuu wa kitengo wanampa majibu tofauti.
Nadhani ni wakati muafaka kwa taasisi hii kubwa kujipanga hasa kitengo hicho cha kutoa vibali ni aibu na inaonekana kazi zinafanywa kwa kujuana.
Jipangeni wakuu mnaaibisha wanasayansi na watafiti wenzenu.