UTEMI na UFISADI Kuimaliza CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UTEMI na UFISADI Kuimaliza CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kachanchabuseta, May 20, 2011.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  [FONT=&quot]Habari WanaJF[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Ni masikitiko yangu kuwa wazima, lakini napenda kutoa dukuduku zangu juu ya chama changu ccm[/FONT]
  [FONT=&quot]kwa kuendeleza utemi nakutosamini wanachama wake, wengi wa wanachama wamekikimbia kwa sababu ya utemi na ufisadi. [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Kamati kuu imefanya maamuzi yake na kumchagua nape ambaye ni mchanga katika siasa za tanzania na kuishia kuropoka kila wakati, mambo mengine sio ya kuropoka lakini yeye anatumia jukwaa kuropoka, Je kamati kuu ilikosa mtu makini wa kubeba jahazi? kamati mpya imefanya ziara mikoa mingi lakini muitikio wake ni mdogo vijana wote wamekimbia. Je hapa manajenga chama gani? Kama wazee ndo wamebaki CCM[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]sisi wanachama wadogo tunauzunika sana mana tulikuwa tunafikiri tumepata nafuu ccm inajivua gamba lakini sasa ni kinyume, wameshidwa kuwafukuza mafisadi maana wanawajua kwa majina. Wanachama tunakililia chama chetu [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Rais tunaomba uwasikilize wanachama wako chama kinaangamia, hakina mvuto tena kwa sura ya watanzania[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Mungu ibariki Tanzania[/FONT]
  [FONT=&quot]Mungu ibariki CCM[/FONT]
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wewe juzi ulikua uko tayari kula kinyesi kwa ajili ya jeikei... leo umehamia kempu yenye pesa unakuja kulalama,

  please go and sort yoursleves out nyumbani, mkimaliza mje kusema mmemalizaje

  acheni kuharibiana wenyewe kwa wenyewe... tatueni shida za wananchi, you have only four years remaining kutimiza ahadi laki moja na elfu hamsini mlizotupa
   
 3. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahaha!!

  kila mahali vilio.
   
 4. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #4
  May 20, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Mpaka wameamuwa kumchaguwa Nape inamaanisha wanaelewa nini kinaendelea,cha msingi ni kusubiri na kujiandaa kukizika chama chetu kama viongozi wa juu hawatabadilika

  Tatizo sio kujivua gamba kwa viongozi wakuu tu wa chama,bado tunamatatizo makubwa sana ktk Matawi na Kata zetu,kwani huko ndiko kwenye wanachama,lakini makatibu wa Kata na Matawi amabao ndio watendaji wakuu ktk maeneo hayo wamekuwa ni Wababe sana na walarushwa wakubwa na hao ndio waliosababisha Madukuduku kwa wanachama waliowengi na sina hakika kama hayo yataisha leo ama kesho

  Makatibu hao wamekuwa na desturi ya kuchagua viongozi wawatakao wao ili wawasaidie ktk kampeni wao wanaita KUPANGA SAFU,na hili linakuja kinyume ama tofauti na matakwa ya wanachama,

  kama tusipo badilika kutoka chini hata kama huku juu tutaweka Almasi hakuna kitu kitakacho fanyika

  Hta CDM nawashauri wakitaka hii nchi ni lazima waimalishe Matawi ya Chama chao,wajue na kutambuwa nini wanachama ktk matawi wanataka na hii malanyingi ni lazima ujitolee kwa moyo wa kiutendaji na uingie gharama ili kukiweka chama chochote kile kuwa imara
   
 5. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,645
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye nyekundu mkuu pagumu sana..
   
 6. V

  Vancomycin Senior Member

  #6
  May 20, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pole mkuu,
  Najua una maumivu makuu na hongera kwa kuwa una nguvu sana kuendelea kuchangamana na watu wezi,wazushi,wasio na chembe ya huruma kwa ndugu zao watanzania.
  Pili,nakuonea huruma kwani mbele ya mboni zako kuna giza nene na umeshindwa hata kutafakari kauli zilizotolewa na wazee wachama JK Nyerere aliyesema chama hicho kina kansa ya uongozi,ndugu chama unachokililia kina kansa ya damu ni STAGE IV kwa sisi tulio katika fani wa afya stage hii tunasema hakuna tiba zaidi ni ushauri na kupunguza mumivu ili asili ichukue nafasi yake(kifo kichukue nafasi yake), we just let the nature to take its course.
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kumekucha na makucha yake....!
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mliligundua hili kabla ya kumchagua au baada ya kumchagua???? Chama Cha Magamba banaaa
   
 9. M

  MFILIPINO Senior Member

  #9
  May 20, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poleni sana! ishini kwa matumaini
   
 10. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mtaisoma? jk kamuweka nape ili kummaliza EL lkn hamuwezi.
   
 11. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #11
  May 20, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,936
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  Mnapochagua wastaafu mnategemea vijana watawaunga mkono Katibu wenu hana hata mvuto wa kisiasa Makamba alikuwa mropokaji lakini alikuwa na mvuto kwa kundi la wanawake kwa hali hii mjiandae kuwapoteza vijana na kinamama.

  [​IMG].........[​IMG]
   
 12. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Ustaadhi JeyKey yamekusibu yapi tena!

  Leo nawe waona uoza wa chama chako, kweli maajabu hayatakoma siku zote.
   
 13. F

  FUSO JF-Expert Member

  #13
  May 20, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,878
  Likes Received: 2,343
  Trophy Points: 280
  lakuvunda....
   
 14. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #14
  May 20, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Hivi kulikuwa na sababu gani ya kuchukua mstaafu wakati mna makada wengi tu chamani? hawa wangebaki katika baraza la ushauri..
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  May 20, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Wafanyakazi wa New Habari corporation wote mtawatambuwa kipindi hiki. hata gazeti la mtanzania liangalieni mtajuwa kwamba hawa watu maslahi yao yameshakwisha ccm, sasa wanaona aibu walisahau mwisho wa ubaya ni aibu.
   
 16. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #16
  May 20, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,936
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  Linanuka
   
 17. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #17
  May 20, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,936
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  Nasikia siku hizi anaitwa mzee wa UWANJA wa Helkopita kwa upara wake

  [​IMG]
   
 18. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #18
  May 20, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Kweli mapacha (RACHEL) walipandikiza watu humu jukwaani!!!!! Threads/ posts za siku hizi za Jeykey / Malaria Sugu zinadhihirisha. they seem to be u-turning.
   
 19. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #19
  May 20, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,936
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  Hujui kuwa jeykey ndiye MS jana MS kala ban leo anatumia ID hii kwa hiyo unapoona jeykey na MS wamebadilika usifikiri ni watu wawili tofauti.
   
 20. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #20
  May 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Nashindwa kukuonea huruma wewe na chama chake fidhuli.

  BTW, hiyo avatar yako inazaa swali....kwa sasa nani anatawala ulimwengu?
   
Loading...