Ndugu wanajamvi, awali ya yote nawashauri kila mtu ajitahidi kusoma nini kilichomo katika THE TANZANIA FIVE YEAR DEVELOPMENT PLAN 2011/12-2015/16".
Ninaona kwamba kuna discrepancy kadhaa kati ya mpango huu na matarajio ya wananchi. kwa nini nasema hivyo. nitatoa mifano michache:
wananchi wanategemea serikali itareview mikataba ya madini ili kuongeza asilimia inayokwenda serikalini kama kodi.. lakini mpango huu upo kimya kabisa katika suala la kodi
wananchi wana matarajio ya uboreshaji UBORA wa elimu. lakini Mpango unatoa kipaumbele katika kuongeza idadi.. sijaona ambapo wanajikita katika ubora wa elimu
Mpango huu unabainisha kwamba Sitting and travelling allowances currently create a perverse incentive's structure, and will need to be rationalized or removed. lakini majibu aliyotoa Mkullo yanaonyesha kwamba hakuna uondoaji wa posho.