Utekelezaji wa kauli ya PM?

Averos

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2010
Posts
994
Reaction score
703
Askari wa JWTZ wakiwatesa raia, i think itakuwa Mtwara hapa
 

Attachments

  • mtwara.jpg
    23.1 KB · Views: 950
Hahahaaaa nadhani gesi karibia inatoka

"To know the enemy is half the victory"
 
Nadhani hiyo picha labda ni Nchi hizi
Kongo
Rwanda
Burundi
Brazaville
Niger Delta
 
Askari wa JWTZ wakiwatesa raia, i think itakuwa Mtwara hapa

Kama kweli askari wa JWTZ wanaweza kufanya hivi basi hawastahili tena kuitwa JWTZ, na JK kama Amiri Jeshi Mkuu amepoteza haki (legitimacy) ya kuwa raisi wetu na anastahili kufikiswa Mahakama Kuu ya Kimataifa. Hakuna kosa linastostahilisha mtu kufanyiwa mateso kama haya. Hata ukiteka adui vitani katika mapambano, kulingana na Mkataba wa Geneva huwezi kuwafanyia ukatili kama huu, sembuse raia asiye na silaha?

Kama unahuhakika ni JWTZ hao pichani mtumie balozi wa Marekani hizo picha na ujumbe kwamba hatutarajii viongozi wa Marekani kuwa na urafiki na Viongozi wa Tanzania wanaoendekeza ukiukwaji wa haki za raia kwa namna hii.

There is simply no excuse for such sadistic acts of brutality.
 
Km ni kweli Tz basi hali inatisha sana. Afadhali tulipotoka kuliko tuendako
 


Tz zaidi ya uijuavyo wamezidisha maaagizo ya PM ya kupiga NAONA mpaka wananing`iniza!:nod:
 
Too sad kwakweli kama JWTZ nao wamefikia hatua ya kuwa na matendo ya kinyang'au kama hivi basi sasa watanzania tutambue kuwa hatuna jeshi la wananchi tena, sasa tuna maharaamia na majambazi.

Huu ni utekelezaji wa maagizo ya waziri mkuu mizengo Pinda bila shaka huko Dodoma alipo anafurahia sana kuona kauli yake inatekelezwa kwa ufanisi wa kiwango cha juu sana.
 
nadhani hii utakuwa umekusudiwa kujenga chuki baina ya raia na wanajeshi, fafanua mahali ilipochukuliwa hiyo picha, vinginevyo wewe ni wakala wa shetani
 
Askari wa JWTZ wakiwatesa raia, i think itakuwa Mtwara hapa

Hii picha umeitoa kule kwenye viblog vya udaku udaku, kule jamaa walisema kabisa hii picha siyo ya Tanzania ila ni mahali Tanzania inapoelekea baada ya kauli ya Pinda!!!

Nawe kiungwana ulipaswa kusite bana, unaeneza chuki kwa wanajeshi bure.......!!!
 

Hii "uniform" ni askari jeshi wa "ecomog" - specifically Nigeria... Hapo ni Sierra Leone - Freetown - wakati wakifanya "ulinzi" wa "Amani"

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…