Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 739
- 1,673
Hivi ni vichekesho, labda analia kwa jamaa kuteja kizembe, maana hii ni fani yake.
"Mbona Polisi mnawaonea sana watu maskini, mtu ametekwa miaka mitatu iliyopita, eneo lake limechukuliwa na mtuhumiwa mnayemjua na kujengwa kiwanda lakini hamchukui hatua yoyote".
"Basi kama mnashindwa kumtafuta mtu aliyetekwa, mmeshindwa hata kutenda haki kwa kumrudishia eneo lake ambalo Takukuru imethibitisha kwamba wanalimiki kihalali mjane wake? Hapana msifanye hivyo"!
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Janeth Magomi amethibitisha kuitambua kesi hiyo na kubainisha kuwa Jalada la Kesi hiyo iliyofunguliwa miezi mitatu iliyopita lipo kwa Mwedesha Mashitaka Mkuu wa Serikali DPP.
Hoja hizo zimemfanya Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda kushikwa na simanzi, kulia na kushindwa kuendelea kusikiliza kero za wananchi wa Tinde Mkoani Shinyanga.
Clouds TV
Hahahahaa wacha nicheke

Nafsi inamsuta jamaaπππHivi ni vichekesho, labda analia kwa jamaa kuteja kizembe, maana hii ni fani yake.
Roma bado yuko nje kwa hofu.
Mo ameamua kutunza siri.
Yule jamaa aliyemnyang'anya Range yaje naye anamzoom tu
Kwani akifa kafunga mdomo anarudi?Makonda aache unafiki. Mbona yeye kawateka na kuwaua akina Ben Sa8, Mkomoro, Azory Gwanda n.k ?
Ipo siku huyu Makonda atakufa mdomo wazi kwa madhambi yake haya.
Makonda aache unafiki. Mbona yeye kawateka na kuwaua akina Ben Sa8, Mkomoro, Azory Gwanda n.k ?
Ipo siku huyu Makonda atakufa mdomo wazi kwa madhambi yake haya.
Picha maktaba : "TULINDE NCHI yetu FUJO ISITOKEE, TUMEANZA KUONA VIASHIRIA" - KAMATI YA AMANI YATOA TAMKO
πππHadi we mwenyewe unacheka. HahahaErythrocyte unasemaje kwa hili?π
Nitaifungulia uzi kesho asubuhi , haya matusi hayapaswi kunyamaziwaErythrocyte unasemaje kwa hili?π