Utekaji (kidnapping): Chatu anayeitafuna Tanzania

Unamaanisha jinsi mtu anavyomiliki pesa zaidi ndio anavyokuwa na thamani zaidi ?
Tunatofautiana sehemu ndogo tu.

Wewe unaandika ilivyotakiwa iwe ila sio kinachofanyika duniani.

Haki ipo kwa Muumba tu. Huku duniani potea wewe uone kama kama utapewa airtime kama akipotea magufuli.

Haki duniani ina status. Obama na wewe wewe ni kikaragosi kwa walimwengu wengi.
 
Tuanze na wewe kwanza..
Umefanya nini kukabiliana na hii changamoto ya watu kutekwa maana kama ni kuandika article
Nadhani zilishaandikwa zaidi ya 1000 lakini utekaji unaendelea.
Naomba kujua kama wewe umefanya nini??
 
Tuanze na wewe kwanza..
Umefanya nini kukabiliana na hii changamoto ya watu kutekwa maana kama ni kuandika article
Nadhani zilishaandikwa zaidi ya 1000 lakini utekaji unaendelea.
Naomba kujua kama wewe umefanya nini??
Na tutaendelea kuandika hata article 100000 mpaka muache kututeka mkuu, maana tukinyamaza mtatumaliza....[emoji41][emoji41]
 
Kuna kitu lazima kifanyike hapa mambo yawe sawa..... Eeh Mungu wetu utulinde na utupe nguvu
 
Nimejitahidi kusoma.
Madhara ya mambo haya tayari yameanza kuonekana.Tunaambiwa walinzi waliokuwa hapo Colloseum hawakufanya jitihada kubwa na kwangu hapa naona shida kubwa.Inawezekana walijua ni WALE WALE (kina nani?nami sijui)
 
Tanzania tuna CHATU WA KUTULINDA Watanzania na watu wake MILELE, atawatafuna watu kama nyinyi vibaraka wa wadhungu walahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…