Utawezaje kushiriki tendo la ndoa na usiyempenda kabisa?

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Ni vipi Mtu anaweza akamuacha mke wake ama mchumba wake ndani akaenda kulala na mwanamke ambae hampendi?.

Hii kitu siwezi kabisa hebu mwenye experience aniambie what is happening
 
Hapo sijakuelewa, asiyependwa ni mke au huyo mwanamke mwingine? Naona hapo ni wazi kuwa, mke hapendwi, yupo pale kwa sababu ya sharia ya ndoa. Jamaa huwa anaomba usiku na mchana kuwa huyo mke afwe ili apate nafwasi ya kuleta mwingine ndani.
 
Kwa taarifa yako alieachwa ndani ndo hapendwi!....Asilimia kubwa ya watu huoa watu wasiowapenda kutokana na msukumo wa umri kwenda, msukumo wa jamii, mtu ni muoga kutongoza basi akikutana na zali la kutongozwa anaoa hapo hapo hata kama hampendi huyo mwanamke, mtu anaoa kwa sababu mwanamke ana kipato e.t.c!
 
Hapo anapomuacha mke/mme ndani, anaenda kufanya ngono na sio tendo la ndoa.

Mara nyingi mihemuko inapofika ktk kiwango cha juu sana na mwenza wako akiwa hayupo (kama huna hofu ya Mungu) unaweza kuchepuka na mtu wa ajabu ambae badae utajishangaa mwenyewe kwamba ilikuaje.
 
Ni vipi Mtu anaweza akamuacha mke wake ama mchumba wake ndani akaenda kulala na mwanamke ambae hampendi?.

Hii kitu siwezi kabisa hebu mwenye experience aniambie what is happening
Inaonesha una siku mbili toka uowe mke au una siku mbili toka umempata demu uliokuwa unamzimikia kinoma,sasa unaona eti ajabu kupata papuchi itakayo zidi hiyo ulioweka ndani,sasa subiri kitu inaitwa KUKINAI,sababu hilo dudu washa unalolitafuna sasa bado jipya,utaendelea kulila na kuliangalia na tochi kila game mwisho utakuja kuliona lina sura mbaya lilivyo jikunja kunja kama pweza,hapooo sasa ndio utaanza kufikiri wanawake wengine wana apple kwenye chupi zao na speed itaanza kuwafukuzia.
 
Mkuu mwanaume ni rahis tu kutembea na wanawake wote wanao katiza kwenye anga zake lkn hawez kuwapenda wote tumeumbwa na roho ya kutaman hata km unamilik mke mzur sana unaweza kutoka njee ya ndoa mifano ipo ming sana JayZ na Beonc na bad Jz anachepuka maumbile yetu yapo hivo kukinai ulicho nacho na kutakakujarbu kwngne hata ulichonacho unakipenda vip mfano ww mwenyewe jichunguze vzur
 
Hakuna kitu kibaya kama kukinai yani ukishachovya kwa muda miezi kadhaa basi utaanza kukinai na kumchukulia poa ambae upo nae...wanaume hii hali tuliyowekewa ya kukinai inatutesa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom