FRANK SHIRIMA
Member
- Nov 30, 2009
- 25
- 1
BOSS anamwambia sekretari wake:
Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel
kwenye
mkutano fanya mipango yote.
SEKRETARI (anamuaga mumewe):
Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye
mkutano
for 1 week.
MUME (anampigia mpango wa
kando):Mambo
safi, wife anaenda kikazi Serena,
jitayarishe tujipe raha for 1 week
("Mpango wa kando"anamwambia
mwanafunzi wake wa tution): wiki hii
nina kazi fulani
hakuna tution mpaka week ijayo)
MWANAFUNZI anampigia simu sugar
daddy wake ambaye ndo BOSS
(BOSS)): Dear hakuna tution wiki
hii nakuja kwako.....
BOSS anamwambia sekretari wake:
Siendi
Serena tena coz mjukuu wangu
atanitembelea SEKRETARI: Mume
wangu hatuendi
Serena
MUME (anampigia Mpango): dah!
mpenzi, huyu ---- haendi tena. Shit!
So hadi next time plz
Mpango wa kando aka teacher
(anampigia
mwanafunzi) Darasa kama kawaida
sorry for the earlier message
MWANAFUNZI: darling tution
inaendelea kumbe, so nakuja wiki
ijayo BOSS: Sekretari sorry jitayarishe
ile
safari
ya serena iko palepale ......
Emu niambieni tutawasaidia vipi hawa
watu!.
Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel
kwenye
mkutano fanya mipango yote.
SEKRETARI (anamuaga mumewe):
Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye
mkutano
for 1 week.
MUME (anampigia mpango wa
kando):Mambo
safi, wife anaenda kikazi Serena,
jitayarishe tujipe raha for 1 week
("Mpango wa kando"anamwambia
mwanafunzi wake wa tution): wiki hii
nina kazi fulani
hakuna tution mpaka week ijayo)
MWANAFUNZI anampigia simu sugar
daddy wake ambaye ndo BOSS
(BOSS)): Dear hakuna tution wiki
hii nakuja kwako.....
BOSS anamwambia sekretari wake:
Siendi
Serena tena coz mjukuu wangu
atanitembelea SEKRETARI: Mume
wangu hatuendi
Serena
MUME (anampigia Mpango): dah!
mpenzi, huyu ---- haendi tena. Shit!
So hadi next time plz
Mpango wa kando aka teacher
(anampigia
mwanafunzi) Darasa kama kawaida
sorry for the earlier message
MWANAFUNZI: darling tution
inaendelea kumbe, so nakuja wiki
ijayo BOSS: Sekretari sorry jitayarishe
ile
safari
ya serena iko palepale ......
Emu niambieni tutawasaidia vipi hawa
watu!.