Utawala wa Wataliban Afghanistan

Hawa watu wanapenda sana kuuana halafu wanasingizia Marekani.
Marekani ndiyo iko behind the scene. Ilikuwa imewafundisha na kuwafadhili na kuwalipa wanajeshi na raia kibao kwa miaka almost 20 walizokaa Afghanistan, wakijua baada ya kuwatoa wanajeshi na maafisa wao, basi wale wangeuana wao kwa wao.

But kitendo cha Rais na serikali ya Afghanistan kuangushwa kirahisi mapema na wanamgambo wa Taliban ni ushahidi tosha kwamba mbinu za hila ya Marekani zimeshajulikana kote ulimwenguni na zimetibuka na kubuma.
 
hivi kwa nini waarabu silaha zao kuu huwa ni haya ma rpg na ak-47 yaani haya makitu huwezi kuyakosa kwa waarabu wawapo vitani ...huwa najiuliza sn mbn kuna silaha nyingi tu za kisasa zaidi kuliko hayo machuma chuma
Lakini Wataleban sio waarabu mkuu
 
hivi kwa nini waarabu silaha zao kuu huwa ni haya ma rpg na ak-47 yaani haya makitu huwezi kuyakosa kwa waarabu wawapo vitani ...huwa najiuliza sn mbn kuna silaha nyingi tu za kisasa zaidi kuliko hayo machuma chuma
Upigwe na silaha ya kisasa kwa lipi ? Wanataka upigwe na chuma chenyewe usikie utamu ufe kwa makasiriko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…