Kitaja
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 2,836
- 1,381
Nimesoma hizo comments na hizo comments hazikuandikwa na Wazungu. Hizo comment zimeandikwa na Wakenya na WTZ. Kiingereza kilichotumika ktk hizo comments ni cha KIAFRIKA zaidi.
Jamani, acheni propaganda za kijinga.
Sio propanga hizo kwani yaliyoandikwa ni ukweli mtupu wewe uko nchi gani? ni afadhali ukubali kuwa nchi iko matatizoni ili tutafute ufumbuzi kuliko kuendelea kumvisha kilemba cha ukoka Rais wetu mpendwa ili hali mambo yanaenda kombo hata yeye mwentewe anlitambua hilo.