GP JF-Expert Member Joined Feb 5, 2009 Posts 2,049 Reaction score 162 Dec 8, 2009 #1 wakuu, kuna maswali huwa najiuliza lakini nakosa majibu!!. ni jinsi gani serikali ya awamu ya 4 ina practise utawala bora? na je ni zipi faida na hasara za utawala bora ambazo hadi leo hii tunaziona? msaada tutani plz.
wakuu, kuna maswali huwa najiuliza lakini nakosa majibu!!. ni jinsi gani serikali ya awamu ya 4 ina practise utawala bora? na je ni zipi faida na hasara za utawala bora ambazo hadi leo hii tunaziona? msaada tutani plz.