dah nini toa ushauri bwanadah................
Kazi unayo.
Sasa kamwambia mama yake, una mpango wa kumuoa?
Hilo swali ni la msingi J. . . maana kama kamuahidi/au kamuacha binti aamini anaweza kuolewa hiyo sio haki kwa binti (kama hajui ni mume wa mtu) wala kwa mkewe.Lizzy ! Umekuaje? Mtendee haki ya kumpa ushauri ndiyo anachokiomba hapa naona na wewe umemchapa swali ! Naamini unamudu mada hii, mi kidogo bado natafakari.
mambo ya ndoa magumu,sijui nikulaumu au nisikulaumu?mpaka umeyaweka hapa ina maana umeshachoshwa.jamani mbona mke mvivu hivyo?hata kwa mtoto wake kumshuhulikia mwenyewe ni ngumu.kwa nini atumie vigezo vya dini hivyo?jee hakufundwa?watu na dini zao ila 6 kwa 6 wanashuhulika kwani wewe na yeye ni kitu kimoja.ushauri wangu huyo wa pembeni jaribu kuachana nae,maana unapozidi kunogewa na nje wa ndani kwenye 6 kwa 6 utazidi kumuona hafai,usione aibu kwa kuwa unampenda mkeo,zungumza na ndugu yake wa karibu{ingawa inataka moyo}hebu kuwa mkali kidogo mwambie hiyo ni haki yetu,turidhishane.au mwambie mambo yakiwa hayo hayo,utaongea na ndugu zake wa karibu,suala la 6 kwa 6 kwa mume na mke hakuna kuoneana aibu mautundu yote mnaokuwa nayo,mnayamalizia hapo.
Dogo, be man in your house. Haya mambo ya nyumba ndogo tulishatest sn wengine tumegundua mdomoni ni matamu kama asali, lakin tumboni ni machungu tena yana7bisha kansa. Unachokitaka kwa mkeo ni haki yako, so usimbembeleze, TUMIA NGUVU. Mkunje utakavyo, mlaze utakavyo, mnyonye utakako, mkojolee upendapo. Mwanzoni atakuona strange, but ndo namna ya kumshape, baadae atakuwa mtaalamu. Kati ya vitu ambavyo havi7bishi ugomvi ndoani ni maumivu ya kusex. Atalia wkt mnaduu, lakini kesho yake atakuwa anakuheshim na kukuona mwanaume wa ukweli. Kutafuta mwanamke nje eti kwa 7bu huridhishwi na mkeo ni uzaifu na aibu. we k unayo hapo ndani unashindwa kuitumia kwa7bu ya ulokole. Na nakuhakikishia siku mkeo akihisi unaenda nje atagawa nje nae, huko atakutana na libazazi, litamkunja kama 0, na tigo litakamua. sasa hapo utaona mkeo atakavyokuzarau! Kuhusu usafi kama ushamwambia hafanyi, ni kuwa hajafunzwa kwao. Mtembezee makofi mara moja moja, atajifunza.
Acha kumfundisha mwenzako kubaka, mkewe anaweza akamchukia mpaka ashangae.
Pole..anza kwa kumuacha wa pili,.then be ROMANTIC for the start,take her pahali hajawahi fika,ongea nae and tell her what you feel and what the bible has not said regarding anachosema...Be SENSITIVE,usitake awe wild and aggresive haraka,be a practical and considerate teacher,mfanye awe comfortable nawe..trust me unaeza kumbadlisha..na atakua anacheza na rules zako plus atajitahidi kujua zaidi..be THE MAN!
Simfundishi kubaka Lizzy, namfundisha kufundisha. Wanafunzi wengine hawaelewi bila viboko. Sasa huyu dawa yake ni kumuonyesha kuwa anatakiwa anaishi na mwanaume, na sio hivyo vimistari vyake sijui kavisoma wapi. Mungu kutaka uwe na kiasi haimaanishi Mungu anataka uwe na kiasi kidogo. Hivi Lizzy kama huumwi, kipi bora, mmeo kutaka penzi kwako ziada ya matakwa yako au kutafuta hiyo ziada kwa mwanamke mwingine?