Utata

Ricardo Damiano

Senior Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
103
Reaction score
82
Habari za Jioni wana Jf.

Kuna swali nimekuwa najiuliza mara nyingi hasa ninapo kuta watu wakiongelea kuhusu maambukizi ya Virusi vya Ukimwi na wengine wakidai wao ni watoaji ushauri nasaa.Utasikia eti "ukitumia Dawa za kuongeza Maisha utaishi hata miaka 90"lengo likiwa nikueleza kuwa dawa za kurefusha maisha na njia za kuishi na Ukimwi zikifuatwa,utata na swali langu ni tangu Ukimwi umeingia nchini Tanzania imeshafika hata Miaka 70 kweli.
 
1983 mpaka 2015. Utapata 32
 

Mkuu naona unafanya permutation ya miaka, vip unataka ukapime nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…