Utata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utata

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kichankuli, May 22, 2009.

 1. Kichankuli

  Kichankuli JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2009
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 847
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Habari wana JF. Mimi huwa napenda kuangalia Taarifa za Habari za Runinga za ITV na Star TV, TBC1 huwa habari zao hazikidhi haja yangu. Katika Taarifa za saa mbili usiku wa jana niliachwa kwenye utata kuhusiana na taarifa ya maombi ya Mawakili wa Mramba na wenzake juu ya kupatiwa maelezo ya ushahidi kabla.

  ITV walitoa taarifa kuwa Mahakama ya Kisutu imekubaliana na ombi la Mawakili wa Utetezi ila ikaeleza kuwa siyo lazima kwa upande wa Mashtaka kuwapatia vielelezo.

  Star TV wao waketutaarifu kuwa Mahakama imekataa ombi la uapande wa utetezi kwa msingi kwamba kuwapatia maelezo ya ushahidi kunaweza kuvuruga ushahidi.

  Sasa mimi nikabakia njia panda lipi ni lipi kati ya haya mawili?

  1) Je haya ndiyo matokeo ya kuokoteza kila mtu anayejua kushikilia Kipaza sauti na kukinyoosha mdomoni mwa mlengwa wa kutoa taarifa na kumchukulia kuwa ni mtu anayefaa kuwa mwanahabari?

  au

  2) Je kuna uwezekano vyuo vyetu vya Habari havitoi taaluma inayokidhi mahitaji ?

  au

  3) Je kuna haja ya kuwachukua watu wenye weledi (Proffesional) husika ndiyo wakajifunza masuala ya uwanahabari ili umma uweze kuwa na uhakika wa kupatiwa habari sahihi za zenye uchambuzi wa kina, kama weenzetu wa majuu wanavyofanya?; Mfano wao humchukua kocha wa mpira wa miguu ndiyo wakamfanya kama mtangqazaji wa mpira (Commentator au Mtaalam wa uchumi ndiyo akawa presenter wa kipindi cha uchumi, n.k
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,144
  Likes Received: 577
  Trophy Points: 280
  star tv wako sahihi
   
 3. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ITV wako sahihi.
   
 4. K

  Kifimbocheza JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2009
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 478
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Edson Vs Josm...........................ukweli upi sasa?
   
 5. Kichankuli

  Kichankuli JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2009
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 847
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Kipi ni kipi:eek:
   
 6. nkawa

  nkawa Senior Member

  #6
  May 22, 2009
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kifupu wote wako sahihi ni lugha tu iliyotumika, walichosema ITV ni kuwa mahakama imekubali lakini si lazima kuwapa kwahiyo hawajapewa, Star Tv wamesema mahakama wamekataa ombi la mawakili.......
   
 7. nkawa

  nkawa Senior Member

  #7
  May 22, 2009
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kifupi wote wako sahii, mawakili wamekataliwa ombi lao
   
 8. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,586
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Edson v Josm wako sahihi, kama mahakama imekubali ombi (Josm yupo sahihi) ila haikutoa amri kwa upande wa mashtaka kuwapa ushahidi upande wa utetezi ni wazi upande wa mashtaka utafanya kile unachoona kipo katika best interest of its side nayo ni kukataa (Edson naye yupo sahihi)
   
 9. Kichankuli

  Kichankuli JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2009
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 847
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Sheria ngumu kweli.

  Sasa kama ingekuwa inahitajika kutoa hukumu inamaana hakimu angesema ngoma ni droo au sare kama inavyokuwaga kwenye soka au nani angeshinda?
   
 10. Kaka Mkubwa

  Kaka Mkubwa Senior Member

  #10
  May 22, 2009
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sheria ni ngumu jamani na wanahabari wetu hawana utaalamu wa sherti hata kido! Waclaumiwe
   
Loading...