OLESAIDIMU JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 19,139 Reaction score 9,575 Nov 22, 2013 #21 Aaaargh joto hasira!!!!!!! Kuacha wengine hai ndio kunaleta maneno meeeeengi!!!!! Unapakua chakula kingi humalizi na mikono pia hunawi unaachia watu kazi ya ku deal na left overs!!!!!!
Aaaargh joto hasira!!!!!!! Kuacha wengine hai ndio kunaleta maneno meeeeengi!!!!! Unapakua chakula kingi humalizi na mikono pia hunawi unaachia watu kazi ya ku deal na left overs!!!!!!
google helper JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 9,667 Reaction score 13,876 Nov 22, 2013 #22 lazima tuwe na uwezo wa kujitawala, ikiwa ni akili zetu pamoja na mambo ya mapenzi ili tuwe na taifa lenye msimamo
lazima tuwe na uwezo wa kujitawala, ikiwa ni akili zetu pamoja na mambo ya mapenzi ili tuwe na taifa lenye msimamo
1st level Member Joined Feb 4, 2014 Posts 6 Reaction score 0 Feb 7, 2014 #23 Imemsaidia nini sasa, we unaendelea na maisha yako yeye anaoza huko...ACHA UJINGA na wewe!