HahahaaaVoda ni wezi toka zamani, hakuna mtandao unaibia watanzania kama voda. Hameni huko jaman mnataka mpaka wavunje nyumba zenu ndo mjue wanaiba?
jamani basi mwenzenu nikawa nanunua muda wa maongez kutoka mpesa..kila nikinunua inakatwa yote.nikawa sielewi basi kuna mshkaj akanikumhusha kuna jaymillnyoko sijui..aisee nilikasirikaa..wakati cjawah hata kujiunga..popote ulipo wewe unaehusika na vodanyoko...SHE*N-ZI TYPE. nyau wewe na mnirudishie hela yangu. mnajua naitafutaje??
Kwanza hawa Voda ukisahau tu hela yako kwenye akaunti ambapo umeacha data za internet on umeliwa, hata uwe na 1000000 utakuta hakuna. Na mpaka uwapate customer care kwa ufafanuzi ni kazi.