Hesabu zako za msingi zina makosa.
3m is 150% of 2m, not 300%.
300% ya 2m ni 6m.
300% ya y ni y X 3.
300% ya 2m ni 2m X 3, ni 6m.
Ukijumlisha zile namba za asilimia zilizogawanywa, mbali na ile namba ya kwanza ya jumla namba inakuwa kubwa zaidi ya mia;
hapo neno asilimia halipotezi maana kwa kuwa badala ya mia imekuwa 100+?
Hapo sikuelewi!Hesabu zako za msingi zina makosa.
3m is 150% of 2m, not 300%.
300% ya 2m ni 6m.
300% ya y ni y X 3.
300% ya 2m ni 2m X 3, ni 6m.
Haujaelewa mkuu,kwasie tuliosoma BAM Dr yupo sahihi.......Anaposema 70% ya mwili ni maji anamaanisha ukichukua content ya maji mwili mzima yaani ukichukua maji yaliyo kwenye damu,kwenye mifupa,kwenye ubongo,kwenye misuli etc ukagawanya na contect ya vitu vingine vya mwili mzima basi 70% ni maji.Ukijumlisha zile namba za asilimia zilizogawanywa, mbali na ile namba ya kwanza ya jumla namba inakuwa kubwa zaidi ya mia;
hapo neno asilimia halipotezi maana kwa kuwa badala ya mia imekuwa 100+?
Hata kama mantiki ni hiyo, we unaona mpangilio wa hoja ya msingi unawiana na hoja yako?Aliyekwambia asilimia haitakiwi kuvuka mia ni nani? Inaweza kuwa hata 400% .kama chungwa linauzwa 200 baada ya muda likauzwa 600 tunasema bei imepanda kwa asilimia 200
OkHaujaelewa mkuu,kwasie tuliosoma BAM Dr yupo sahihi.......Anaposema 70% ya mwili ni maji anamaanisha ukichukua content ya maji mwili mzima yaani ukichukua maji yaliyo kwenye damu,kwenye mifupa,kwenye ubongo,kwenye misuli etc ukagawanya na contect ya vitu vingine vya mwili mzima basi 70% ni maji.
Akaja kusema 85% ya cell za ubongo ni maji,hapa amekuwa specific kwa ubongo peke yake yaani ukipima ubongo wote peke yake kuna 85% ya maji mule.
We tuko pamoja katika hilo, japo ufafanuzi umeeleweka kwamba zile asilimia ni kontent za kiungo kimoja kimoja zilizogawanywa na kutenga kiwango cha maji katika kiungo husikaAma umesahau hesabu, hujui, mbishi, au kupitiwa. Msingi wetu unalinganishwa na 100, kwa hiyo kama ulikuwa unalipwa sh 1m ukaongezwa na kuwa 2m, umepanda kwa 100%. Lakini kama ungeongezwa kutoka 1m mpaka 3m utakuwa umepanda kwa 200% .
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3516]Ama umesahau hesabu, hujui, mbishi, au kupitiwa. Msingi wetu unalinganishwa na 100, kwa hiyo kama ulikuwa unalipwa sh 1m ukaongezwa na kuwa 2m, umepanda kwa 100%. Lakini kama ungeongezwa kutoka 1m mpaka 3m utakuwa umepanda kwa 200% .
Wadau wamesema, asilimia zinazotajwa kwenye kila kiungo zimegawanya kutoka kiungo hicho tu, siyo kutoka mwili mzima!Hayuko sahihi.
85%+82%+75%+25%=267%
Hapo kwenye misuli ba mifupa tu pekee kuna 100%
Wadau wamesema, asilimia zinazotajwa kwenye kila kiungo zimegawanya kutoka kiungo hicho tu, siyo kutoka mwili mzima!
Ndivyo nilivyowaelewa, japo mjenga hoja sentesi zake hazikutanabaisha hivo
Hodi hapa kwa leo, make nina siku mbili tatu...bila kuingia humu;
Salaam kwenu.
Nimekuja hapa naomba ufafanuzi kutoka kwenu wajuvi wa hesabu.
"Maji huchukua karibu 70% ya mwili wa binadamu, ambapo seli za ubongo zina karibu 85% ya maji, misuli huwa na 75% ya maji, mifupa huwa na 25% ya maji na damu huwa na karibu na 82% ya maji"
Siwezi kubishana na kilaza wa hesabuAma umesahau hesabu, hujui, mbishi, au kupitiwa. Msingi wetu unalinganishwa na 100, kwa hiyo kama ulikuwa unalipwa sh 1m ukaongezwa na kuwa 2m, umepanda kwa 100%. Lakini kama ungeongezwa kutoka 1m mpaka 3m utakuwa umepanda kwa 200% .
1% ya 2m ni nini?Hapo sikuelewi!
Ndo kabisaaaa umeniuza, hapo naanza chekechea[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Umeandika kwa maneno "asilimia mia tatu" halafu ukaandika kwa namba "300%", halafu bado unaita typing error?Upo sahihi, typing error, ni 150% not 300%.
Umemueleza ki-legendary mkuu.Somo la comprehension lirudi shuleni wazee...
Sentensi haina shida mzee baba.... ni sawa na kusema 70% ya wanaJF wanachat PM kila siku.
80% ya wanaochati PM kuhusu mapenzi wanakutana na kuonana..
Nishamjibu, hilo somo likirudi shule halitakuwa na manufaa kwangu, yeye atoe elimu hapa ili nielewe mimi, na pia nimegundua kuna wengine tunafanana uelewa juu ya hiliUmemueleza ki-legendary mkuu.
Kwa kuwa jamii forums ni yetu sote, tuelimishane, hatubishani hapa, ingawa tunaweza kutofautiana namna ya kufikisha ujumbe!Siwezi kubishana na kilaza wa hesabu
Mwili wote wa binadamu: Maji=70%; mifupa 30%Hodi hapa kwa leo, make nina siku mbili tatu...bila kuingia humu;
Salaam kwenu.
Nimekuja hapa naomba ufafanuzi kutoka kwenu wajuvi wa hesabu.
Nimekutana na ubishi mahala mtu aliyejitanabaisha kama Dk.... akibishana na mwenzake kujusu sentesi ambayo mwenzake alisema haina mashiko, je hii sentesi ya Dokta iko sawa kwa mujibu wa mgawanyo wa asilimia?
"Maji huchukua karibu 70% ya mwili wa binadamu, ambapo seli za ubongo zina karibu 85% ya maji, misuli huwa na 75% ya maji, mifupa huwa na 25% ya maji na damu huwa na karibu na 82% ya maji"