Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,781
Hapo ndipo unapokosea, haikumaanisha kuwa 70% inatokana na huo mlolongo wa viungo mbalimbali na kiasi cha maji kilichomo ndani yake.Ukijumlisha zile namba za asilimia zilizogawanywa, mbali na ile namba ya kwanza ya jumla namba inakuwa kubqa zaidi ya mia;
hapo neno asilimia halipotezi maana kwa kuwa badala ya mia imekuwa 100+?
Yupo sahihi anaongelea kitu kizima mwili wa binadamu! Halafu anaongelea sub set za mwili na asilimia zake za damu! Yupo sahihi kimahesabu. Siyo vilaza kama ambao wanasema asilimia 101Hodi hapa kwa leo, make nina siku mbili tatu...bila kuingia humu;
Salaam kwenu.
Nimekuja hapa naomba ufafanuzi kutoka kwenu wajuvi wa hesabu.
Nimekutana na ubishi mahala mtu aliyejitanabaisha kama Dk.... akibishana na mwenzake kujusu sentesi ambayo mwenzake alisema haina mashiko, je hii sentesi ya Dokta iko sawa kwa mujibu wa mgawanyo wa asilimia?
"Maji huchukua karibu 70% ya mwili wa binadamu, ambapo seli za ubongo zina karibu 85% ya maji, misuli huwa na 75% ya maji, mifupa huwa na 25% ya maji na damu huwa na karibu na 82% ya maji"
Asante nimekuelewa vyema, ila nae kiswahili chake ndo kimenifanya nilete swali hili hapa.Yupo sahihi anaongelea kitu kizima mwili wa binadamu! Halafu anaongelea sub set za mwili na asilimia zake za damu! Yupo sahihi kimahesabu. Siyo vilaza kama ambao wanasema asilimia 101
Percentage means fraction of something times 100. So chochote chenye fraction you can have percentage.Hodi hapa kwa leo, make nina siku mbili tatu...bila kuingia humu;
Salaam kwenu.
Nimekuja hapa naomba ufafanuzi kutoka kwenu wajuvi wa hesabu.
Nimekutana na ubishi mahala mtu aliyejitanabaisha kama Dk.... akibishana na mwenzake kujusu sentesi ambayo mwenzake alisema haina mashiko, je hii sentesi ya Dokta iko sawa kwa mujibu wa mgawanyo wa asilimia?
"Maji huchukua karibu 70% ya mwili wa binadamu, ambapo seli za ubongo zina karibu 85% ya maji, misuli huwa na 75% ya maji, mifupa huwa na 25% ya maji na damu huwa na karibu na 82% ya maji"
Swala siyo somo lilrudiwe, ukisoma vizuri nilikuja hapa kutaka ufafanuzi, waliotoa ufafanuzi nimewaelewa na nawashukuru sana, wewe pia wacha nikushukuru, "asante kwa mchango wako" ila ukisema kunirudisha shule kwa ajiri ya hili nililolileta hapa tu, na we wewe utakuwa na shida. Nawashukuru wote nimeelewa, hata chalenji zimenifanya nielewe piaSomo la comprehension lirudi shuleni wazee...
Sentensi haina shida mzee baba.... ni sawa na kusema 70% ya wanaJF wanachat PM kila siku.
80% ya wanaochati PM kuhusu mapenzi wanakutana na kuonana..
Dr. Yupo sahihi. hapo ni kwamba hizo 80% za kwenye ubongo, 25% za mifupa n.k nazo zipo kwenye 70% ya maji kwenye mwili. mfn. hiyo 80% za maji kwenye seli za ubongo huwenda ni 9% ya maji yote mwilini (ni mfano si halisia).Ukijumlisha zile namba za asilimia zilizogawanywa, mbali na ile namba ya kwanza ya jumla namba inakuwa kubqa zaidi ya mia;
hapo neno asilimia halipotezi maana kwa kuwa badala ya mia imekuwa 100+?
Jumlisha then tafuta average utaelewa kinachomanishwaUkijumlisha zile namba za asilimia zilizogawanywa, mbali na ile namba ya kwanza ya jumla namba inakuwa kubqa zaidi ya mia;
hapo neno asilimia halipotezi maana kwa kuwa badala ya mia imekuwa 100+?
Na asilimia 95 ya wanaume wanaoonana na wanawake wanakula K bila Kuzigharimikia ingawa asilimia 10 wanaokula k wanapata GonoSomo la comprehension lirudi shuleni wazee...
Sentensi haina shida mzee baba.... ni sawa na kusema 70% ya wanaJF wanachat PM kila siku.
80% ya wanaochati PM kuhusu mapenzi wanakutana na kuonana..
We[emoji3516][emoji3516][emoji35][emoji35] vepeeee?Na asilimia 95 ya wanaume wanaoonana na wanawake wanakula K bila Kuzigharimikia ingawa asilimia 10 wanaokula k wanapata Gono
Maji yalitajwa kwenye separate areas, hutakiwi kujumlishaUkijumlisha zile namba za asilimia zilizogawanywa, mbali na ile namba ya kwanza ya jumla namba inakuwa kubqa zaidi ya mia;
hapo neno asilimia halipotezi maana kwa kuwa badala ya mia imekuwa 100+?
Usiende pekuWe[emoji3516][emoji3516][emoji35][emoji35] vepeeee?
We umeamua kuleta chumvi tu hapaaa, wakati walimu hapa wsmeshanifaulisha, nikienda kwenye mtihani saa hizi napata 100٪Usiende peku