Utata wa miaka 30 duniani

Unawaza sana ngono! Badilika! anza kuwaza vitu vya msingi kama familia,jinsi ya kuimarisha uchumi wako na kumtukuza mwenyezi mungu itakusaidia!
 
Unawaza sana ngono! Badilika! anza kuwaza vitu vya msingi kama familia,jinsi ya kuimarisha uchumi wako na kumtukuza mwenyezi mungu itakusaidia!
huyo ni mkewe, sio ngono ni tendo la ndoa tukufu
 
Baada ya kudiscuss akakupa solution ipi?
Hata weza nipa zaidi ya mara tatu...maana nimfanyakazi ana piga mzigo wa kutosha job akirudi pia mi namdaka...hivo hadi mwenyewe namhurumia pia mi sipendi uzinzi...nafsi yangu inanisuta kusalit ndoa yangu
 
Inaonekana wewe una utulivu wa mawazo, huna msongo wowote na unamudu majukumu na malengo yako yanafikika kirahisi.

Kwa mtu mwenye msongo, sex can be very boring. Hasa kama una majukumu mengi, kazi nyingi na malengo ambayo kimsingi yanachukua sehemu kubwa ya fikra zako.
 
Umenigusa sana mkuu...na experience same situation kama ulopitia...kuna mda unapewa tu lakini yeye hana hisia.Huwa najisifu sana huyu mama hapa ndani ni kisu asee
 
Hiyo hali ipo kwenye akili yako. Acha mawazo ya kutoridhika anza kuridhika b4 tendo.
 
Unawaza sana ngono! Badilika! anza kuwaza vitu vya msingi kama familia,jinsi ya kuimarisha uchumi wako na kumtukuza mwenyezi mungu itakusaidia!
Hali za wabongo wengi ni ngumu ndo maana mnafikiri kila mtu ana matatizo ya kiuchumi.Mkuu nimebarikiwa hapa duniani. Mi nimeoa kwa ndoa takatifu kanisani....na namtukuza Mungu na ndo maana niko mbali na uzinzi
 
Huyo mkeo mshikilie huyo huyo usimwache mwanamke kama huyo ni nadra sana kumpata namaanisha anahamasisha ujisikie kuendelea na tendo usijidanganye kutafuta mchepuko utakuja kujuta milele endelea na huyo huyo ulienae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshakaa na mkeo na kuzungumza naye?kama bado,wewe ni mpuuzi!nonsense!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…