UTATA wa MABILLIONI ya EPA: Ni kiasi gani kilichorudishwa na mafisadi?

Jamani kuweni waagalifu sana na hii habari ya kukamatwa mali za watuhumiwa. Ndiyo ni kweli mali hizi zilikamatwa mnamo mwanzoni mwa "Operation EPA" lakini sheria inasema mali ikamatwe sio zaidi ya miezi sita. Ndio maana wengi wao sasa wanaeda kwenye vyombo husika kusema sheria ifuate mkondo wake. Mmoja wao ni Malegesi ambaye sasa akaunti zake zimefunguliwa baada ya kuwabana wahusika. Chunguzeni mtapata ukweli. Wengine wako mbioni kupambana ili mali zao ziachiliwe vile vile. Hata hivyo hizi mali ni sehemu ndogo sana ya EPA. Vile vile Kamati ya Mwanyika ilizubaa kiasi fulani kukamata pesa taslimu na baadhi ya mafisadi walizificha nje hasa China!

Wana JF tembeleeni mali hizo:

Bank M inafanya kazi ama imefungwa? Noble Azania, Lehman Tanzania, Noble Motors, Ocean Side Limited, Mount orange Properties, Motorsense UK Ltd, , hizi ni zile tu ambazo Jeetu Patel ana connection nazo.

Kernel, J.I International, Proin Properties, Tabata Housing Estate, NDC Housing Estate, Regent, etc



,
 
Bubu ataka kusema;The seized assets include four brand new Range Rover Vogue Supercharger 2006 Model cars — each valued at $136 said:
Hii habari ya kukamata vigari na vibanda nimambo ya kizamani! Haya magari yatakaa sentro polisi hataishia kuibiwa radio berti na noseli, nyumba watahamia maafande na wake zao!

Kama kunajinai simuwakate wahusika na kuwafikisha mahakamani! zombe alikamatwa, iweje hawa wawe sugu! Kama hakuna jinai hakuna sababu ya kupigiana loki mageti.
 
kumekucha! tutachanganywa sana mwaka huu, kuna mtu amepishana na geofrey lukaza jana bado anaendesha vogue kama kazi,

je mali za ccm kama yale magari yanayoitwa mahindra yaliyonunuliwa na hizi pesa yatakamatwa_
 
Back
Top Bottom