Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
Waulize Dr Kashimba alie na Siri aina ya majeraha ambayo hata Familia ilikataliwa kuona, pia Muulize Mzee Kizota yule mwenye Bar viwanja vya Saba Saba, alikuwa bodi gadi yake, wakimbizi waliokuwepo maeneo ya karibu na ajali wanadai kuona bodi gadi huyo akifyatua risasi, muda mfupi tu baada ya mheshimiwa kutoka nje ta gari kujaribu kukimbia. Muulize Mwalimu Nyerere aliekuwa Rahisi wa Tanzania

Sasa kumbe wakati wa tukio ulikua mdogo, huyo aliekuambia Sokoine alikufa kwa ajali kwa asikuele na hayo yote unayotaka kuyajua. Alafu mpaka sasa hunau nahokijua kifo chake, lakini umeshajaji eti utata. Alafu bila aibu unaweka sahihi eti CHINGA 1 aah toa mi nakukataa.
Hakufa kwa ajali ya gari, alikufa kwa kupigwa risasi.
Najua Lumumba mtabisha pamoja na kuwa mnajua huu ndio UKWELI
Una uhakika?
Wadau ningependa kujua chanzo halisi cha kifo cha waziri mkuu wa zamani hayati sokoine kwa vile alipo fariki nilikua bado sijazaliwa,nimejaribu kupitia baadhi ya makala mbali mbali naona hazielezi mazingira halisi ya ajali hiyo kwa msingi huo napenda kushare na nyie maswali kadhaa;
1.ajali iliyo sababisha kifo cha sokoine ilikua ya aina gani? kupinduka kwa gari,kugongana uso kwa uso? ama kugonga mti?
2.katika hiyo ajali hayati sokoine na dereva wake walifia papo hapo ama hospitali?
3.kama ni ajali ya magari kugongana uso kwa uso vipi kuhusu dereva na watu walio kuwemo kwenye gari ya pili walikufa ama wako hai?
4.kama wakk hai vipi dereva alichukuliwa hatua gani? maelezo ya dereva yanasemaje?
4.Ushahidi wa mashuhuda wa hiyo ajali wanasemaje?
5.Uchunguzi wa polisi unatoa maelezo gani kuhusu ajali iliyo sababisha kifo cha sokoine? ni uzembe wa madereva? au ni matatizo ya kiufundi? ama ni conspiracy?
6.Eneo la ajali ni wapi? i mean kijiji,kata,wilaya na mkoa gani na ilikua mda gani mchana au usiku?
7.KWA NINI HAKUNA SOKOINE DAY KWENYE KALENDA YA NCHI YETU KAMA ILIVYO NYERERE DAY NA KARUME DAY?
kuna maswali mengi sana ila kwa leo naomba niyaweke hayo muhimu.
Chinga 1.
Pichani ni gari lililosababisha kifo cha aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania Mhe:Edward Moringe Sokoine mnamo Tar 12 Mwezi 04 Mwaka 1984 wakati akitokea kwenye kikao cha Bunge mjini Dodoma kwenda jijini Dar Es Salaam
Picha hapo chini ikimuonyesha Baba wa Taifa ambaye naye ni marehemu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akilia kwa uchungu baada ya kuona mwili wa aliyekuwa rafiki yake kipenzi Waziri Edward Sokoine ukiwa umelala milele.
Sokoine alifariki kwa ajali ya gari Jumatano ya Aprili 12, 1984 saa 11:30 jioni wakati akitoka kwenye kikao cha bunge Dodoma kuelekea Dar es Salaam
Mwili wa Edward Moringe Sokoine ulizikwa nyumbani kwao Monduli, mkoani Arusha!
Hayo mengine ni maswali ya hisia tu ambayo kila mwenye hisia zake moyoni hana budi kujiuliza bt all in all apumzike kwa amani milele!
Harooo usin'tanie!! Ina maana Mzee Kizota long time alikuwa Mjeda yule? Sa' yale manyama manyama aliyonayo na mengine yaliyojazana sehemu ya kukalia yametoka wapi yale? Au anaumwa?Waulize Dr Kashimba alie na Siri aina ya majeraha ambayo hata Familia ilikataliwa kuona, pia Muulize Mzee Kizota yule mwenye Bar viwanja vya Saba Saba, alikuwa bodi gadi yake, wakimbizi waliokuwepo maeneo ya karibu na ajali wanadai kuona bodi gadi huyo akifyatua risasi, muda mfupi tu baada ya mheshimiwa kutoka nje ta gari kujaribu kukimbia. Muulize Mwalimu Nyerere aliekuwa Rahisi wa Tanzania
Harooo usin'tanie!! Ina maana Mzee Kizota long time alikuwa Mjeda yule? Sa' yale manyama manyama aliyonayo na mengine yaliyojazana sehemu ya kukalia yametoka wapi yale? Au anaumwa?