Kumbe mafala wana kijiji chao eeh
Kitu kichi hapa
Ipo singida
Hiyo Ya japan Mbona umeweka *** kukusaidia ni KITIMOTO!
Acha urongo!
Hii ipo Kenya.
Singida kuna Senge...
Mbona hizi poa tu... Japan kuna mji uaitwa K***MOTO!
Hahaha!fikra chafu zilishaanza kuingia kwenye akili za watu!Nimekukubali JIDU, kweli we ni GREAT THINKER,:first:
Ukistaajabu hiyo shule , je hizi mbili kwa picha tuziiteje?Kitu kichi hapa
Ni Mji Huo na Kuna University.
Je maeneo kama haya wewe una maoni gani?Kwa hapo UFALA inamaanisha nini?
Isijekuwa ni maana tofauti na tunayoielewa
Sina kauli, umeua mkuuJe maeneo kama haya wewe una maoni gani?