Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,230
huo nafikiri ni msimamo binafsi wa huyu jamaa na si chama kizima...ila kinachotia shaka ni wafuasi wa chadema na baadhi ya viongozi kutotaka kukosolewa au kutokubali ubaya wao wa hili au lile hapo ndiyo tatizo kwani hii tamaduni ikiendela na wakipata dola italeta matatizo ndani na nje ya chama na kwa taifa kwa ujumla
Wakati chadema wakipigania demokrasia na kulalama kuwa CCM ina udikteta lakini ndani ya chama hicho kuna makada wanaofikiria kinyume.Kuna wengine wanampigania Gaddafi.Kuna posts nimeziona zenye utata sana Ben Saanane anamtetea Gaddafi na kumtangaza shujaa wake.Kwa staili hii sidhani kama chadema wako serious na wanachosema.Unategemea wananchi wa kawaida wataelewaje?Nilisha sema huyu jamaa ni wa kuangalia sana huko baadaye Tanzania tutakuja kutia aibu kwa kutoa dikteta wetu......Yeye haoni makosa ya Qaddafi? haya hapa chini siyo maneno yangu nimeyatoa kwenye post nyingine-;
'Kuwa mpinzani siyo kupinga kila serikali iliyoko madarakani.Kufanya hivyo ni uzuzu.Sio kila chama cha upinzani pia kinakuwa kwenye harakati kwa maslahi ya wananchi wake na Africa kwa Ujumla.
Kwa mfano mimi nimekuwa nikipenda harakati za MMD wakati Levy Mwanawasa Anagombea nimekuwa nikivutwa sana na sera zake na hata alipokuwa madarakani ingawa mara nyingi nimekuwa sipendi status quo nilijikuta bado nikitamani ashinde awamu ya pili ya Urais Zambia.Hata hivyo katika uchaguzi uliofuata baada ya Mwanawasa kufariki nimekuwa nikivutiwa sana na sera za michael Sata against sera na mfumo wa kusimamaia raslimali za wazambia uliosimamiwa na Rupiaha Banda wa chama kile kile cha MMD.Sasa kwenye siasa ni suala la kuangalia Angle zote za ideas
Ndiyo maana kuna watu kwenye mitandao wamefikia hataua ya kuchukulia mambo vibaya na au hata watu kuchukulia tofauti unaposema kitu kinzani na jinsi walivyotegemea iwe.Ukiwa mwanasiasa au chama cha siasa chenye kutoa mawazo huru bila unafiki utapata shida kweli kweli,na inapaswa kuwa hivyo.
Kwa mfano pamoja na kwamba napenda Demokrasia(ingawa Demokrasia hii ya Magharibi inahitaji mjadala) lakini mimi binafsi nawaona NTC kama vibaraka na fedheha ya Afrika.Gaddafi atabakia kuwa shujaa wangu.
Zimbabwe chama cha Upinzani cha MDC nakiona fedheha nyingine ya Afrika.comrade Mugabe anabakia kuwa shujaa wangu.Huko Uganda mimi naendelea kumuona Museveni kama kiongozi Muhimu na mwanamapinduzi aliyefanikiwa kwa kiwango kikubwa inagawa si kwa asilimia zinazotakiwa kwa wanamapinduzi wa kweli kwa ajili ya uganda na kwa Africa.Hata hivyo Museveni ametia aibu kuruhusu operation ya Kumtafuta kony kuwa assisted na America,hiyo ni Embarassment.Si kila serikali ilyoko madarakani ni mbaya,haramu na si kila chama cha upinzani ni haramu au halali katika muktadha wa mapinduzi au maslahi kwa wananchi.tunahitaji mijadala mikali zaidi ya hii.........na hasa dhana ya democracy katika western Model kuwa imposed Africa!'
JF Senior Expert Member
Join Date : 18th January 2007
Posts : 3,594
Rep Power
Je,sisi wananchi wa kawaida tumueleweje?sisi tunajua ni mwanaharakati na mwanasiasa wa chadema tutashindwaje kutofautisha na chadema? kuna mtu kasema hamtaki kukosolewa hivyo sishangai
Mueleweni tu kuwa hayo ni maoni yake binafsi.. Usijilazimishe kumwelewa.Je,sisi wananchi wa kawaida tumueleweje?sisi tunajua ni mwanaharakati na mwanasiasa wa chadema tutashindwaje kutofautisha na chadema? kuna mtu kasema hamtaki kukosolewa hivyo sishangai
Mueleweni tu kuwa hayo ni maoni yake binafsi.. Usijilazimishe kumwelewa.
Wakati chadema wakipigania demokrasia na kulalama kuwa CCM ina udikteta lakini ndani ya chama hicho kuna makada wanaofikiria kinyume.Kuna wengine wanampigania Gaddafi.Kuna posts nimeziona zenye utata sana Ben Saanane anamtetea Gaddafi na kumtangaza shujaa wake.Kwa staili hii sidhani kama chadema wako serious na wanachosema.Unategemea wananchi wa kawaida wataelewaje?Nilisha sema huyu jamaa ni wa kuangalia sana huko baadaye Tanzania tutakuja kutia aibu kwa kutoa dikteta wetu......Yeye haoni makosa ya Qaddafi? haya hapa chini siyo maneno yangu nimeyatoa kwenye post nyingine-;
'Kuwa mpinzani siyo kupinga kila serikali iliyoko madarakani.Kufanya hivyo ni uzuzu.Sio kila chama cha upinzani pia kinakuwa kwenye harakati kwa maslahi ya wananchi wake na Africa kwa Ujumla.
Kwa mfano mimi nimekuwa nikipenda harakati za MMD wakati Levy Mwanawasa Anagombea nimekuwa nikivutwa sana na sera zake na hata alipokuwa madarakani ingawa mara nyingi nimekuwa sipendi status quo nilijikuta bado nikitamani ashinde awamu ya pili ya Urais Zambia.Hata hivyo katika uchaguzi uliofuata baada ya Mwanawasa kufariki nimekuwa nikivutiwa sana na sera za michael Sata against sera na mfumo wa kusimamaia raslimali za wazambia uliosimamiwa na Rupiaha Banda wa chama kile kile cha MMD.Sasa kwenye siasa ni suala la kuangalia Angle zote za ideas
Ndiyo maana kuna watu kwenye mitandao wamefikia hataua ya kuchukulia mambo vibaya na au hata watu kuchukulia tofauti unaposema kitu kinzani na jinsi walivyotegemea iwe.Ukiwa mwanasiasa au chama cha siasa chenye kutoa mawazo huru bila unafiki utapata shida kweli kweli,na inapaswa kuwa hivyo.
Kwa mfano pamoja na kwamba napenda Demokrasia(ingawa Demokrasia hii ya Magharibi inahitaji mjadala) lakini mimi binafsi nawaona NTC kama vibaraka na fedheha ya Afrika.Gaddafi atabakia kuwa shujaa wangu.
Zimbabwe chama cha Upinzani cha MDC nakiona fedheha nyingine ya Afrika.comrade Mugabe anabakia kuwa shujaa wangu.Huko Uganda mimi naendelea kumuona Museveni kama kiongozi Muhimu na mwanamapinduzi aliyefanikiwa kwa kiwango kikubwa inagawa si kwa asilimia zinazotakiwa kwa wanamapinduzi wa kweli kwa ajili ya uganda na kwa Africa.Hata hivyo Museveni ametia aibu kuruhusu operation ya Kumtafuta kony kuwa assisted na America,hiyo ni Embarassment.Si kila serikali ilyoko madarakani ni mbaya,haramu na si kila chama cha upinzani ni haramu au halali katika muktadha wa mapinduzi au maslahi kwa wananchi.tunahitaji mijadala mikali zaidi ya hii.........na hasa dhana ya democracy katika western Model kuwa imposed Africa!'
JF Senior Expert Member
Join Date : 18th January 2007
Posts : 3,594
Rep Power
Je,sisi wananchi wa kawaida tumueleweje?sisi tunajua ni mwanaharakati na mwanasiasa wa chadema tutashindwaje kutofautisha na chadema? kuna mtu kasema hamtaki kukosolewa hivyo sishangai
Nuclear1,
Sijawahi kusoma thread yako hapa JF inayomsupport Ben, kama ipo utanisaidia. Siku zote umekuwa against Ben hasa kipindi cha uchaguzi wa bavicha ulituletea hapa habari nyingi sana tena mbaya tu dhidi ya Ben. Bila shaka alipoenguliwa kwenye kinyang'anyiro ulifurahi sana.
Mkuu usisahau kwamba Ben ametoa maoni yake as an individual, hajatoa statement kwa niaba ya chama. Kwahiyo usijaribu hata kidogo kukihusisha chadema na maoni ya mwanachama wake mmoja. Kuna watu wengi sana wametoa maoni yao kuhusu kifo cha gadafi, hata ccm na serikali yake tumesoma kwenye mitandao maoni ya vionbgozi wake yanavyotofautiana. Mathalani waziri membe anapotoa kauli za kumlilia gadafi na kuwabeza NTC na kusahau kwamba gadafi huyu huyu ndiye aliyempa msaada wa kijeshi iddi amini apambane na majeshi yetu wakati wa vita ya kagera, kwahiyo kuna watanzania wengi hatukubaliani na kauli ya waziri membe. Hatukubaliani na kuuawa kwa gadafi maadam alishakamatwa lakini hatuwezi kumuunga mkono membe kwa kuwabeza NTC.
Kwahiyo utaona kwamba waziri membe ametoa statement kuwasilisha msimamo wa serikali yetu na wadau/watanzania wanawajibika kuujadili msimamo wa serikali yao. Lakini Ben Saanane, hana cheo chochote ndani ya chadema, kama walivyo wanachama wengine waliotoa mitazamo yao, kauli yake haiwezi kamwe kuchukuliwa kwamba ndio msimamo wa chama.
Kwahiyo kama una mambo yako binafsi dhidi ya ben ni vizuri ukatafuta namna ya kushusha hasira na tuhuma zako bila kukihusisha chadema, after all yeye si msemaji wa chama. Ungekuwa umeleta hapa msimamo wa katibu mkuu wa chama, au mwenyekiti wa chama, au mkurugenzi wa habari na uenezi hapo tungekuelewa.