anna bubelwa
Member
- Mar 12, 2013
- 40
- 10
walishashort list ilkuwa so imebak oral tu. na yenye ndo haielewek ni lin?Heee PPRA kumbe walishashort list ? kuna post niliomba na nilikua sijui kama wameshaanza kuita.
Ann fata maelekezo wamewaambia siku ya usaili mtapewa taarifa unatakiwa kusubiri mbona maelezo mmpewa vizuri just wait mpaka mtakapopewa taarifa
Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili kwa kada zote za PPRA, Tarehe yao ya usaili itapangwa na wasailiwa watajulishwa,Wasailiwa wanashauriwa kuendelea kutembea tovuti hii kwa taarifa zaidi.
Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza".
Sasa usichoelewa hapo ni nini???? Annbuberwa
Habari zenu, mi nina swali limenichanga katika upande wa PPRA post ya Procurement Officer ii. Wakati wanashortlist majina ya written walisema watakaofaulu written interview tarehe 6 yani kesho, wataendelea na oral. But chakushangaza juzi walishortlist majina ya oral wanasema tutajulishwa tarehe ya mahojiano so which is which nisaidieni, kwa hiyo kesho ni interview au mpk tutakapojulishwa na eneo la interview ni wap?
Asanteni
Hongera naona umepita kwnye chujio! Anna Bubelwa wa SJUT ama?
Mbona sekretarieti wametolea taarifa tayari ebu ingia www.ajira.go.tz muwe browse hiyo website yao jamaniHabari zenu, mi nina swali limenichanga katika upande wa PPRA post ya Procurement Officer ii. Wakati wanashortlist majina ya written walisema watakaofaulu written interview tarehe 6 yani kesho, wataendelea na oral. But chakushangaza juzi walishortlist majina ya oral wanasema tutajulishwa tarehe ya mahojiano so which is which nisaidieni, kwa hiyo kesho ni interview au mpk tutakapojulishwa na eneo la interview ni wap?
Asanteni
Embu take deep breath alafu angalia tena mbona mimi naliona hilo tangazo lipo pamoja na maelezo yahusuyo wasailiwa wa udereva na kilimo na uvuvi.....uwe unakunywa maji ukiwa unaangalia itakusaidiawe mapovu mbn cjayaona hayo majina wala taarfa za kufanya ora ppra ktk web ya tume ya ajira we umeonea sehem ip nijuze
Embu take deep breath alafu angalia tena mbona mimi naliona hilo tangazo lipo pamoja na maelezo yahusuyo wasailiwa wa udereva na kilimo na uvuvi.....uwe unakunywa maji ukiwa unaangalia itakusaidia