Utata mauaji ya Mwangosi na hukumu yake

Utata mauaji ya Mwangosi na hukumu yake

Nimeangalia sana mwili wa huyu kaka. nachoweza kusema tu ni kwamba aliyeamuru na anayeunga mkono na anayekwepesha ukweli mpaka sasa ajue vita ni vya Mungu.Na kisasi ni cha Bwana.Yupo na anaweza.
Hii damu haitapotea bure.
Tuache mara moja matumizi ya nguvu yasiyo ya lazima.

RIP brother.Polen familia ambayo mnakosa huduma na mapenzi yake.Poleni jamii kwa kukosa mchango wake pia
inatia huruma sana kwakweli...familia yake ipo katika hali ngumu sana...ila MUNGU awaongoze, awaongoze sana katika pigo walilolipata
 
Alaniwe yeye na kama kuna aliyemtuma nae Alaniwe, siku yake ya kuzaliwa isihesabike katika siku za dunia,duniani hapa kuna watu wanazani wataishi milele,eee mtu wewe ya nini Dhambi hiii, je unafikiria nini siku ya hukumu ikifika mbele ya haki,utamwambia nini mungu siku hiyooo, mungu naomba uhukumu sawa sawa na matendo yetu
 
Back
Top Bottom