Jamani wadau habari za kazi? Poleni na majukumu samahani naomba kuuliza ama kujuzwa kuhusu hiki chuo cha eckenford tanga university inst of health science,je kinatambuliwa na nacte? Yaani namaanisha je kimesajiliwa?