Ikemefuna funa
Senior Member
- Sep 26, 2015
- 167
- 33
Hakuna kijana wa miaka zaidi ya miaka 25
Nashangaa watu wanatumia jina kijana kwa mtu wa miaka 30 mpaka 40. Kijana nikuanzia 18-25 mwisho
Kwahiyo tumuweke kundi gani huyo wa kuanzia 26?
18-35 ni umri wa kuitwa kijana.
35-40 ni transition ya kutoka ujana kwenda uzee.
45-- ni uzee
Mamaaaaaa!!! Kwa hyo mim uzee utayari!! Natamani mwisho wa dunia ufike nizaliwe upyaa.
Hahahahhahaha ukifa utazaliwa China labdaπππ
Khaa!! Kama haihusiani na kutafuta kazi UVCCM au Bavicha basi asikudanganye mtu hizo ni namba tu za kiingereza. Anayeweza kukuambia kama wewe kijana au la ni bedmate wako tu:glasses-nerdy:Habari members wa Jf,
Mimi naomba mwenye kujua aniambie hivi kijana ni kuanzia umri gani hadi umri gani. Maana naona wengi wanatafsiri zao, Kuna wanasema kuanzia 18 to 35, 17 to 40 au 18 to 45. Wengine ujana wa mtu ni ye mwenyewe kwenda na wakati. Ni hayo tu.
Nawasilisha.
Khaa!! Kama haihusiani na kutafuta kazi UVCCM au Bavicha basi asikudanganye mtu hizo ni namba tu za kiingereza. Anayeweza kukuambia kama wewe kijana au la ni bedmate wako tu:glasses-nerdy:
Habari members wa Jf,
Mimi naomba mwenye kujua aniambie hivi kijana ni kuanzia umri gani hadi umri gani. Maana naona wengi wanatafsiri zao, Kuna wanasema kuanzia 18 to 35, 17 to 40 au 18 to 45. Wengine ujana wa mtu ni ye mwenyewe kwenda na wakati. Ni hayo tu.
Nawasilisha.
halafu ukishajua!!!?
Khaa!! Nani kakwambia wewe mzee? Uzee si namba bana. Muulize mwenzio atakwambia ukweli :glasses-nerdy:Mamaaaaaa!!! Kwa hyo mim uzee utayari!! Natamani mwisho wa dunia ufike nizaliwe upyaa.
Mkuu umhimu wa kujua upo sana, Kwa ili tupate ukweli, kwanini tufanye mambo gizani wakati tunaweza kupata mwanga ili tufanye kwa ufanisi??, hivi takwimu za watu zitachukuliwa vpi bila kujua hilo??