Ya Kubenea?
Uliniona nasoma Kata gani?
Wengi wanalilalamikia Bunge Maalum la Katiba kuwa limeacha kujadili Rasimu ya Warioba na linajadili "Rasimu ya CCM!"
Well, tulitegemea basi kesi dhidi ya Bunge Maalum la Katiba ifunguliwe Mahakama Kuu lakini badala yake inashtakiwa Serikali, kupitia Attorney General, ambayo kimsingi haihusiki!
Ni vizuri AG akaachwa na Badala yake awekwe Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, otherwise hizi kesi 2 zitashindwa vibaya!

Nikianza kushabikia Serikali 3 mtanisifia kuliko maelezo!
Ni vizuri AG akaachwa na Badala yake awekwe Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, otherwise hizi kesi 2 zitashindwa vibaya!
Unazijua procedure za kusikiliza kesi ?
Kama unazijua basi hiyo steji ilishapita.
Yako wewe Buchanan!
Hoja zako zinafanana na wale waliosoma shule zilizoanzishwa katika kata kwa dharula na kufundishwa na waalimu wa voda fasta!
Umejinukuu mkuu
Kwamba wewe ulisoma shule za voda fasta!