G. Activist
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 482
- 125
Wakuu, ni bora huyo kaka yake angeeleza ukweli au inawezekana alimweleza ukweli mwandishi ila aliandika kivyake. Angeeleza kuwa kaka yake alikuwa na matatizo ya akili na pengine hilo ndo lilikuwa chanzo cha yeye kutumbukia kisimani. Pia kuna uwezekano mkubwa kuwa mwandishi hakupata story kamili na ndo kaana anajichanganya wakati wa kuandika. Mara anasema kuwa post mortem ilikuwa imefanyika na wakati huo huo anasema kuwa alipowasiliana na kenyela alimwamnia kuwa uchunguzi unaendelea. Ni vyema angejikita kwanza kujua matokeo ya hio post moterm
Phillemon Mikael naona umeamua kutumia jina lako halisi. Huogopi kuwa mmoja wa hao ambao wamesha potezwa? Mi napita tu.
Mkuu, marehemu hakwenda kuteka maji pale bali alitumbukia aidha kwa bahati mbaya kutokana na matatizo yake ya akili au alijitumbukiza. Taarifa kutoka kwa watu wa karibu zinasema kuwa alishafanya majaribio kadhaa ya kujiua lakini aliweza kuokolewa.
Kama ni huyu Peter Tyenyi tunayemfahamu basi ni wazi kuwa kifo chake hakina mkono wa mtu. Wakati mwingine akifika pale simba kapakatwa alikuwa ana tabia ambayo kila mmoja kama ni mgeni basi utaona ni mtu aliyekosa ustaarabu wa hali ya juu. Unamkuta anaagiza chakula na vinywaji na baada ya kumaliza kula hujipangusa kwenye nguo zake bila ya kunawa na huondoka bila ya kulipa. Pale simba kapakatwa, kijitonyama wanamfahamu sana. Na ndipo story ya kuwa peter alikuwa na matatizo ya akili nilipoupata
Lazima utakuwa unajua mengi sana kuhusu kifo hiki.Wakuu, ni bora huyo kaka yake angeeleza ukweli au inawezekana alimweleza ukweli mwandishi ila aliandika kivyake. Angeeleza kuwa kaka yake alikuwa na matatizo ya akili na pengine hilo ndo lilikuwa chanzo cha yeye kutumbukia kisimani. Pia kuna uwezekano mkubwa kuwa mwandishi hakupata story kamili na ndo kaana anajichanganya wakati wa kuandika. Mara anasema kuwa post mortem ilikuwa imefanyika na wakati huo huo anasema kuwa alipowasiliana na kenyela alimwamnia kuwa uchunguzi unaendelea. Ni vyema angejikita kwanza kujua matokeo ya hio post moterm
Hivi nyinyi watu kwa nini huwa hamuandiki Kiswahili ili mueleweke vizuri? Kama basi ni lazima muandike kwa Kiingereza basi andikeni kwa kiingereza kinachoeleweka!
TISS kwishaaaa!hapo ndiyo wamechochea uasi ndani ya TISS ninaamini sasa tutashuhudia mengi! "Vita vya panzi burudani kwa kunguru". Chanzo cha haya yote ni DHURUMA na tamaa ya kutawala kwa lengo la kujinufaisha binafsi.
Lazima utakuwa unajua mengi sana kuhusu kifo hiki.
Kumbe kung'oana meno hadi wenyewe kwa wenyewe,mm kapuku si nitanyofolewa utumbo?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kuna kingereza ambacho hakieleweki hapo?
Nahisi itakua alilewa kupita kiasi hivyo kudumbukia kisimani.
Mkuu, bila kufanya utafiti, huwezi kuwa na hoja sahihi. Binafsi nilipoona taarifa hii kwenye gazeti la leo la mwananchi nilianza kudodosa hapa na pale na ndo nikabaini hayo niliyoeleza. Najua kuna wengi humu jf wana akili za kitoto ndo maana wanakimbilia kupost vitu wasivyovijuaLazima utakuwa unajua mengi sana kuhusu kifo hiki.
Angalau sasa umenipa mwangaza.Mkuu, marehemu hakwenda kuteka maji pale bali alitumbukia aidha kwa bahati mbaya kutokana na matatizo yake ya akili au alijitumbukiza. Taarifa kutoka kwa watu wa karibu zinasema kuwa alishafanya majaribio kadhaa ya kujiua lakini aliweza kuokolewa.
Mkuu, kama watu wa umri huo na zaidi ndani ya tiss wapo wengi sana. Kwa nini awe yeye? Shirikisha bongo zako ipasavyohuyu kauawa kutokana umri wake atakua kuna kitu alikua anajiandaa kuwaumbua magamba wakaona wamBARLOW MAPEMA RIP OFISA.
Mkuu, akili za kuambiwa changanya na za kwako. Ni bora ungefanya kautafiti japo kidogo ili ujue marehemu alikuwa anakaa wapi na wapi alikuwa anafanyia kazi. Then hapo ndo utajua uhalisia wa jambo hiloIvi we mzee wa kuomba BAN na LIZABONI mbona mpo bize sana kuiaminisha jamii kuwa marehemu alikuwa ni mgonjwa wa akili au mlevi sana? Au nanyi ni TISS mnajaribu kuvuruga ushahidi? Kwa mujibu wa maelezo mke wa marehemu alipopiga simu ofisini alijibiwa kuwa marehemu hakuonekana kazini siku hiyo inawezekanaje mtu mwenye matatizo ya akili au mlevi aingie eneo lililojaa maafisa usalama na asionekane na mtu? Kama kuna uzembe kiasi hicho basi waombeni radhi M23 haraka kabla hawajawaingilia kambini na kuwateketeza wote. Naomba mtambue kuwa wana jf wengi wana uwezo mkubwa sana wa kudadavua mambo hivyo msijaribu kuziba mwanga wa jua kwa kutumia ungo, wote tuvute subira matokeo kamili ya uchunguzi yatatolewa.
Kwa mtu kukutwa amekufa kisimani ndo isiwe salama? Mara ngapi story za aina hiyo tumezisikiaTanzania ya sasa si salama
Mkuu hicho ni kiinglishi cha kiintelijensia..wala hajachapia!
ukisoma hiyo thread kwa makini kuna kluu nyingi....ila naogopa kutolewa makucha miye!