busy bees JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 2,249 Reaction score 1,348 Oct 7, 2016 #1 Wale wataalamu wa lugha naomba mnisaidie kuondoa utata katika matumizi ya maneno yafuatayo ktk kumaanisha USIWE NA HOFU/SHAKA :- 1) Worry out 2) Worry not Ni lipi SAHIHI kati ya hayo mawili?
Wale wataalamu wa lugha naomba mnisaidie kuondoa utata katika matumizi ya maneno yafuatayo ktk kumaanisha USIWE NA HOFU/SHAKA :- 1) Worry out 2) Worry not Ni lipi SAHIHI kati ya hayo mawili?
busy bees JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 2,249 Reaction score 1,348 Oct 12, 2016 Thread starter #3 Auz said: Yote sawa Click to expand... Waweza kufunguka zaidi .... hata ikiwezekana kwa PROOF ?
Auz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2016 Posts 13,840 Reaction score 11,775 Oct 12, 2016 #4 busy bees said: Waweza kufunguka zaidi .... hata ikiwezekana kwa PROOF ? Click to expand... Proof iko zaidi katika mazungumzo, sentensi zote zina maana moja, kwamba ondoa shaka na usiwe na shaka.
busy bees said: Waweza kufunguka zaidi .... hata ikiwezekana kwa PROOF ? Click to expand... Proof iko zaidi katika mazungumzo, sentensi zote zina maana moja, kwamba ondoa shaka na usiwe na shaka.
pappilon JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 3,192 Reaction score 3,577 Oct 12, 2016 #5 busy bees said: Wale wataalamu wa lugha naomba mnisaidie kuondoa utata katika matumizi ya maneno yafuatayo ktk kumaanisha USIWE NA HOFU/SHAKA :- 1) Worry out 2) Worry not Ni lipi SAHIHI kati ya hayo mawili? Click to expand... worry out,,,worry not.... yote maneno ya kihuni/mtaani...sahihi ni Do not worry
busy bees said: Wale wataalamu wa lugha naomba mnisaidie kuondoa utata katika matumizi ya maneno yafuatayo ktk kumaanisha USIWE NA HOFU/SHAKA :- 1) Worry out 2) Worry not Ni lipi SAHIHI kati ya hayo mawili? Click to expand... worry out,,,worry not.... yote maneno ya kihuni/mtaani...sahihi ni Do not worry
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,657 Reaction score 8,589 Oct 12, 2016 #6 don't worry/ucjari,ondoa shaka ndio iko sahihi zaidi
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,657 Reaction score 8,589 Oct 12, 2016 #7 1. worry not - isiyokuwa na shaka 2 . worry out - nje ya shaka,toa shaka 3. don't worry - usijari,ondoa shaka yote yako sawa ila kuyatumia tofauti
1. worry not - isiyokuwa na shaka 2 . worry out - nje ya shaka,toa shaka 3. don't worry - usijari,ondoa shaka yote yako sawa ila kuyatumia tofauti