Mkuu sina haja ya kukupa pole yeyote kwa sababu unaruhusu upumbavu uharibu maisha yako.
Wewe uliyesoma kwa taabu huku baba yako akila maisha unajifanya leo hii unamjua?
Huo usiri mnaoweka na bibi yako unakusaidia nini?
Baba ambaye hajakutafuta tokea unazaliwa umemtafutia nini? Au kwa kuwa umeambiwa mnafanana upate picha ya kumuweka kwenye status za watsup?
Acha ujinga kijana mwenzangu na namaanisha UACHE UJINGA.
Unachokifanya ni dharau kwa baba yako aliyefariki na aliyejitoa wewe ukafikia miaka 7.