Utata interview za tume ya ajira(PSRS)

Utata interview za tume ya ajira(PSRS)

Wadau tangu jana tume ya ajira wametoa majina ya kwenda kufanya interview kwa kada mbalimbali kwa wale walooma nafazi za kazi zilizotangazwa July 2013.
Utata ni pale ambapo kuna watu tuliomba kazi Kibaha Education Centre(KEC) kipindi hicho July pamoja na hawa waloitwa interview.Pia katika tangazo hili la kuita usaili pale kwenye utangulizi walipozitaja taasisi zitakozohusishwa kwenye usaili hata Kibaha education centre imetajwa ila ukiingia kwanye majina taasisi hyo haipo kabsa.
Sasa je wamesahau au inamaanisha nini

kuna jamaa anaitwa Fidelis E. Haule ameitwa interview nyingi sijui atazifanyaje kwa pamoja
 
nilitupia jana humu jf ila walisema kwa wale ambao bado hawajaonyeshwa pa kufanyia interview wawe tayari maana muda wowote watataarifiwa .kwa hiyo sioni kama walikosea kitu hapo

kama uliyadownload naomba utusaidie kuyaweka hapa.
 
Back
Top Bottom