Simba Mkali
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 620
- 243
Mwenzenu bado nashangaa na hii biashara ya madwa ya kulevya, mara utasikia yanaingizwa nchini, mara yanatoka hapa kwenda Afrika Kusini, China au nchi za jirani, siku nyingine yanatoka Afrika Kusini kuletwa Tz sasa mbona sielewi au haina soko maalum? kwani shamba liko wapi (Najua Pakitstan) na soko liko wapi au biashara hii siyo kama Mahindi yanatolewa Iringa yanakuja kuuzwa Dar? na mtu hawezi kutoa mahindi Dar kupeleka Iringa na Mbeya, nifafanulieni tafadhali.