Ndugu zanguni, hakuna jambo jema kama kujisomea vitabu...
Unapata mambo mengi sana...
Badala ya kuangalia TV , au kupoteza muda sana na gadgets zako,
Nashauri ununue vitabu uwe unajisomea
Utashangaa jinsi ufahamu unavyoongezeka....
Si rahisi kurubuniwa na watu rahisi rahisi..
NI utamaduni mzuri..
Mkuu great leaders are great readersupo sahihi kabisa... ila pia hutegemea na vitabu gani unavyosoma....
ufahamu katika mambo gani hasa ndo muhimu....
kurubuniwa katika lipi maana huwezi kusoma vitabu vyote duniani...
na pia hakuna utamaduni ulio mzuri kuliko mwingine na mbaya kuliko mwingine...
asaaaaante kwa ushauri.
Success Habits cha Napoleon Hill ni kizuri kitafute ukisome...me nakaribia kukimaliza!!!ni vema basi kama tukiambiana vitabu vzuri ambavyo umewah kuvipitia vinavyoweza kubadili maisha yako. tupia tittle hapo kwa msaada zaidi.