Mshahara wangu kama wakinilipa kwa wakati ni kama elfu 80 hadi laki moja na elfu kumi ilala sasa bosi kaanza tabia ya kulimbikiza halipi kwa wakati ndo maana inafika 160 hadi 220. Na amekuwa mkali sana tulipomuuliza unataka tulipe kodi kwa hii pesa ndo mbona tuna muda mrefu sana Zaid ya mwaka lkn hutupatii mkataba wa ajira.