mwanakijiji lugusi
Senior Member
- Apr 13, 2016
- 128
- 98
Habari wana Jf mimi ni first year tarajali na nmekosa mkopo je nifanyeje ili nihamie Chuo kilicho karibu na home ili familia ikasimamie show kwenye ada na mahitaji yangu mengine nikiwa chuo.
Just wait tarehe 5 nov Tcu watafungua transfer window,nadhani wataelekeza hatua za kufuata.Habari wana Jf mim ni first year tarajari na nmekosa mkopo je nifanyeje ili nihamie Chuo kilicho karibu na hom ili familia ikasimamie show kwenye ada na mahitaj yangu mengine nikiwa university