Poleni sana ndugu zanguni wenzangu kama mimi leo nimekutana na mapya nikaona sio vibaya nikijaribu kushare na nyie kuhusu utaratibu wa kuchukua mafao.
Ni usumbufu sababu nina rafiki yangu alikuwa anafanya kazi mkoa sasa amerudi baada ya mkataba kuisha jana kaenda ofisi ya NSSF hapo mlimani city lakini jibu alilopewa ni kuwa KUNA UTARATIBU MPYA MAFAO UTAFUNGUA MADAI YAKO SEHEMU ULIYOFUNGUA UANACHAMA.
So this means kama sasa hivi uko Dar na kazi ilikuwa KIGOMA unatakiwa kusafiri urudi mpaka ulikokuwa ambayo sijui kama hizo gharama wanakulipia na huo usumbufu wameuona kibaya zaidi nimepiga simu ofisi zao Kasulu wanasema hawatambui kama kuna huo utaratibu mpya wao wanachojua madai unafungu popote kwenye tawi lao cha muhimu uhakiki kila kitu kimekamilika.
Nimechukua hatua zaidi nikawasiliana makao makuu jibu wametoa utaratibu huo mpya na ndio unaotumika kwa sasa which ni usumbufu wa hali ya juu wanachama hatujatangaziwa unakutana na hali hiyo hongera zao kwa kuturudisha enzi za analojia ila naomba Mungu utaratibu huu tusiukute kwenye mifuko mingine.
Tunaomba kupata taarifa kwa wengine kama kuna lolote jipya maana nimechoka.