Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,675
- 1,756
AiseeeKwanza haiwezi tokea
Na hata ikitokea siwezi kumuacha mwanamke wangu ambaye najua she is my all!!.
Inabidi uendane na mabadiliko ya kiduniaUnaambiwa upewe mil10 uachane na mpenzi wako umpendae,je utakubali kupokea pesa ukaachana nae au utakataa na ukabaki na huyo mpenz unaempenda?
Me ntapokea pesa na ntaachana nae mazma wala nyuma sitageuka!
Najua haiwezi tokea, lkn ili kukuridhisha, nitapokea alafu nitarudiana naye, kwa kuwa sioni masharti ya kukataza kumrudiaUnaambiwa upewe mil10 uachane na mpenzi wako umpendae,je utakubali kupokea pesa ukaachana nae au utakataa na ukabaki na huyo mpenz unaempenda?
Me ntapokea pesa na ntaachana nae mazma wala nyuma sitageuka!
Ntampa millions 5 na mimi nibaki na tano kwa makubaliano. Th world hs never been frUnaambiwa upewe mil10 uachane na mpenzi wako umpendae,je utakubali kupokea pesa ukaachana nae au utakataa na ukabaki na huyo mpenz unaempenda?
Me ntapokea pesa na ntaachana nae mazma wala nyuma sitageuka!
Kwenu wanawake ni simple, siwezi kukushangaa hata kidogo, ila kwa wanaume kuna ugumu kidogoUnaambiwa upewe mil10 uachane na mpenzi wako umpendae,je utakubali kupokea pesa ukaachana nae au utakataa na ukabaki na huyo mpenz unaempenda?
Me ntapokea pesa na ntaachana nae mazma wala nyuma sitageuka!
Sisiemu si watu wema.Unaambiwa upewe mil10 uachane na mpenzi wako umpendae,je utakubali kupokea pesa ukaachana nae au utakataa na ukabaki na huyo mpenz unaempenda?
Me ntapokea pesa na ntaachana nae mazma wala nyuma sitageuka!
mi sio ccm wala chademaSisiemu si watu wema.
Ahahahahah....Saa nyingine jina huwa haliendani na mtu alivyo
Ahahahahah,kabisaaa pesa kwanzaUko sahihii mkuu pesa kwanza hata ukiambiwa umtoe roho kwa Pesa ww toa