Yule mpiga wake anayeitwa the bold siku hizi sijui yuko wapi.
Una muda gani umejiunga JF?Umeandika nini hapa ?
Hajasema kwa mwezi. We nae umesomea wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa si ufungue darasa... Kama.unapiga mil 950 kwa mwezi hama nchi kabisaa
Pamoja Boss Tutaleta Mrejesho Kama Tulivyoleta FXWewe nenda sijakukatazaa nawataadharishaa wale wageni ili isije kutokea wameenda wakarudi na Kufungua nyuzi za vilio humuu... Fursa kama wewe nenda tu ukapigwe pesa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa si ufungue darasa... Kama.unapiga mil 950 kwa mwezi hama nchi kabisaa