Nataka kuliweka wazi ili suala la utapeli unaozid kuenea kila siku na wengi wakiwa ni waanga, kuna matangazo mengi ya kibiashara hususani yale yanayo postiwa #zoom, tupatame..... nk, na wengi
kuna wanaopiga simu wanakwambia umeshinda zawadi kutoka voda tafuta simu nyingine tukuelekeze jinsi ya kupokea zawadi, ukijichanganya kufuata hayo maelezo lazima ulizwe.