Utapeli wa Mapenzi

Utapeli wa Mapenzi

Joined
Mar 5, 2019
Posts
8
Reaction score
10
{DADA /KAKA ZANGU KUWENI MAKINI NA WATU HAWA}. Nyakati zime badilika kila kukicha mapya yana zuka utapeli ime kuwa ni fasheni kwenye kila sehemu kiasi kwamba huwezi jua yupi mkweli NA yupi muongo anaye stahili NA asiye stahili.
.
Kama vile wezi hubuni mbinu mpya kuikwepa police basi matapeli WA mapenzi nao hubuni mbinu mpya ili kuupata MOYO wako au mwili wako au pesa zako.
.
Kwanye mapenzi siyo mwanaume wala mwanamke ndo mwema
Wote wana nyuso mbili
Utamkuta mdada mpole
Mswalihina au mlokole
Una zani ume pata make
Wandoa kumbe ni zuga tu
Ana waza pesa au starehe mpaka basi.
.
Vijana wakiume ndo using seme nikama same fanyiwa mila ya zinaa ana date NA wasichana WA NNE huku hana mpango wakuoa hata baada ya miaka mi NNE ijayo ILA ana wapa ahadi ya ndoa.
.
(JIEPUSHE NA WATU WENYE SIFA ZIFUATAZO KWENYE MAHUSIANO). 1) Wewe ni msichana una mwanaume anaye sema ana kupenda kwa malengo ILA ukikosea hakuonyi ana kuambia haina shida au hakusemi jua huyo hana mpango NA wewe ndo maana hajali kuhusu Tabia zako maana akiwa NA malengo hataki uharibikiwe.

2) MTU ambaye huwa hakutafuti mpaka awe NA shida tu huyu hafai kabisa ni mbwamwitu kiufupi huyu ni mshenzi anankutumia wewe kufikia malengo yake wengi ni wasichana ndo wenye Tabia hizi yaani nakushauri mwachetu.
.
3) Mwanaume hakutafuti mpaka awe NA uhitaji WA tendo LA ndoa yaani mkimaliza Ku sex ana ishia mitini wewe ndo wakumtafuta mpaka siku tena akiwa NA hamu zake ndo ana kutafuta NA hana maneno ya maelezo ni hotel kwake au guest basi akimaliza ana ondoka kimya Dada yangu hapo una fanywa kuwa dampo ya shahawa basi.
.
4) Mapenzi ya msimu au yamgao kama WA umeme wengi wapo kwenye mahusiano haya kuna wakati mwenza wako ana kaa kimya wiki mwezi wengine mpaka mwizi alafu ana kuja tena ana kutafuta NA wewe unanjiona una bahati kiukweli usilolikua ni chungu IPO hivi Huyo ana MTU wake haswa wanapendana sana wanapo gombana ana kutumia wewe kama kipozeo cha maumivu yake waki sahau maumivu basi wana endelea mgao una kuja kwako tena ,huyu mfukuze ni mbwa
.
5) Mwanaume au mwanamke ambaye kila Sikh mkiwa wote ana mtaja xx wake kwenye mazungumzo ,au ana kuambia kuwa kama flani yaani ana kulinganisha NA wengine jua hafai kabisaa mwache..
 
Hili linawahusu wasio na ndoa kama mtoa mada,mtoa mada umejifunza mengi
 
Kuna siku kuna mwanaume aliniuliza
"hivi ukisikia nakula Tigo utafanyaje"
"Nikamjibu nitakuacha uendelee kuzila izo Tigo"
"Akakata simu..baada ya dk chache akatuma sms "kumbe hunipendi eh"

Sasa sijui alitaka nimpe jibu gani yule kiumbe
 
Kuna siku kuna mwanaume aliniuliza
"hivi ukisikia nakula Tigo utafanyaje"
"Nikamjibu nitakuacha uendelee kuzila izo Tigo"
"Akakata simu..baada ya dk chache akatuma sms "kumbe hunipendi eh"

Sasa sijui alitaka nimpe jibu gani yule kiumbe
Huyo anakula tigo kweli...hapo alikuwa anasikilizia
 
Back
Top Bottom