Utapeli wa kitoto umeingia Dar

cmoney

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
3,568
5,503
Jamani za mchana...Leo nmepigiwa sim na rafiki yangu tulisoma naye shule ya msingi kupokea tu anasema ananipa Dili.Kichwan ajili ikacheza na kama ujuavyo kipindi cha magu Dili laweza kukunyesha debe..kumsikiliza ananiambia boss wake yupo mwanza ukerewe anataka niagiza nimsaidie kua middlemen kwe Dili ya Nyavu pc50 kila moja laki na nusu twaenda muuzia mteja kwa milion 15 mi unachukua 2.5 million namwachia yeye 5 .. hapo taa zote zikawaka ikabidi nimcheki jamaa yangu Mwanasheria ili nijue nafasi yangu VP ka middle men itakaponuka..si ndo akanishtua kua nisikubali kutoa hata Mia ikifikia hapo....kama Mungu alikua kuwarufia hawa jamaa eti kila mmoja anajibu sahihi wanaanza sema nifuate mzigo kigamboni ila niandae laki4 ya kununua risiti feki..ah ah AF mbaya zaidi mzigo eti unapelekwa mwanza na precision jion hii wakati mi nshapiga sana Dili za airport najua it take time kuandaa mzigo usafirishwe ..nkawa nawacheka...so wadau muwe makini Mheshimiwa amekaba so matapeli wanatafuta hadi 100 AF mbaya zaidi huyu yapeli anatumia namba 2 halafu zote kasajili jina lake..so tuwe makini waungwana
namba wanazotumia.ni 0657101925 anajiita thomas maiko 0652727921anajiita andason kiponda na 0716338521 na ushahidi.nnao ni kutumbuana tu kama mkuu wa mkoa
 
Huyo siyo tapeli ni mwanafunzi tapeli hawezi leta utapeli wa kitoto huo nakwambia yule tapeli mwenyewe usingechomoka
sasa huu ndo tunaita ujuaji labda kama ndo.kazi zako uje nipiga mimi...unadhan nilivyorahisisha stori ndo.unadhan nimeshare kila.kitu hapa
 
huyo jamaa hata mimi alinipigia, akaiambia aliwah kuwa ananibeba na tax yake kipindi naishi Sayansi Kijitonyama (siku za nyuma). Sasa hivi akasema anamwendesha afisa uvuvi Ukerewe ndio akanipa hiyo story ya nyavu.
ah ah mbaya zaidi jamaa hawajajipanga yaani anachukulia ule upanikiji wako kuambiwa unachukua mgao wa 2million chap...sa nkashangaa kama dili.ni ya million si angekodi ndege tu aje amalize biashara
 
Muda mrefu sana huu utapeli upo, Sema wanabadili tu aina ya mahitaji
 
ah ah mi maza aliniambia DESI ILISHAWAHI TOKEA MIAKA YA 80 HUKO wakati inaanza mabibo ila hadi.kesho atu bado wanapigwa zinabadilika bidhaa tu mara product za alovela mara jinsi ya kusaidiana mara rifaro mwisho wa siku zote ni PoNzI SCHEME AU PYRAMIDAL SCHEMES
 
Jamani za mchana...Leo nmepigiwa sim na rafiki yangu tulisoma naye shule ya msingi kupokea tu anasema ananipa Dili.Kichwan ajili ikacheza na kama ujuavyo kipindi cha magu Dili laweza kukunyesha debe..kumsikiliza ananiambia boss wake yupo mwanza ukerewe anataka niagiza nimsaidie kua middlemen kwe Dili ya Nyavu pc50 kila moja laki na nusu twaenda muuzia mteja kwa milion 15 mi unachukua 2.5 million namwachia yeye 5 .. hapo taa zote zikawaka ikabidi nimcheki jamaa yangu Mwanasheria ili nijue nafasi yangu VP ka middle men itakaponuka..si ndo akanishtua kua nisikubali kutoa hata Mia ikifikia hapo....kama Mungu alikua kuwarufia hawa jamaa eti kila mmoja anajibu sahihi wanaanza sema nifuate mzigo kigamboni ila niandae laki4 ya kununua risiti feki..ah ah AF mbaya zaidi mzigo eti unapelekwa mwanza na precision jion hii wakati mi nshapiga sana Dili za airport najua it take time kuandaa mzigo usafirishwe ..nkawa nawacheka...so wadau muwe makini Mheshimiwa amekaba so matapeli wanatafuta hadi 100 AF mbaya zaidi huyu yapeli anatumia namba 2 halafu zote kasajili jina lake..so tuwe makini waungwana
namba wanazotumia.ni 0657101925 anajiita thomas maiko 0652727921anajiita andason kiponda na 0716338521 na ushahidi.nnao ni kutumbuana tu kama mkuu wa mkoa
Umesema jamaaa mmesoma nae na ni rafk yako?,kama hata sauti ni ya kwake kwann usmichukulie hatua ili asiendelee kuibia wengine?
 
Wa dizaini hii nimewazoea alafu siku hizi sichezi tena dili kipuuzi tu mtu akuletee dili la milioni kadhaa tena mtu wa pembeni,dili za hatari nitaziamini kama zimeletwa na mama angu mzazi full stop hata mshua akinipa dili hua nachungulia mara mbili.
 
Back
Top Bottom