Gheto's King
Member
- Jun 27, 2012
- 11
- 0
Kuna hawa majamaa mengine wanajiita B BlueHao Bayport ni wezi na matapeli, usipokuwa makini utapigwa mno, kuna nesi moja alikopeshwa million 3 anakatwa 150,000 kila mwezi kwa miaka 6, yaani riba ni zaidi ya 300% 7
Kuweni makini nao
Hao jamaa niliwahi kutaka kukopa halafu nikastuka, lakin cha walivyofasta walikuwa tayali wameahaeffect makato na mwezi mmoja wakakata, then nikastop, issue ilikuwa refund ya ile hela, yaan ilikuwa balaa, mpaka nilikata tamaa, ilirudishwa baada ya muda mrefu sanaa, halafu riba zao ni kumtia mteja umaskini kabisa. Hawafai hata kwa kulumangia.Kuna hawa majamaa mengine wanajiita B Blue
Ofisi zao zilikuwa pale Raha tower Posta.
Aisee hawa ndo naona wanaongoza wakifuatiwa na Bayport pamoja na ile ya pale Morocco near hospital ya watoto.
B Blue ilikuwa ukimaliza deni, wanatulia kama mwaka hivi kisha wanaliibua tena.
Na ukienda kufatilia unaonyeshwa mkataba mpya kabisa ambao hujui ulijaza lini, ila mwandiko na sign ni wewe kabisa.
Sijui walikuwa wanafanyaje.
Mimi ni muhanga wa hawa B Blue.
Ila sidhani kama ipo hai...maana ililalamikiwa sana.
Labda kama walijirekebisha ila waliniliza sana.
Mara 3 walikuja kukata makato.
Halafu kipindi hiko unasign mkopo bila kuweka passport size yako.
Basi unafoji tu sahihi na jina la mfanyakazi mwenzako mnoko, kisha unachukua mkopo kupitia jina lake.
Salary slip ikija mwisho wa mwezi, anashangaa anakatwa makato wakati hajawahi omba mkopo.
Nakumbuka Letshego walimsainia mtu na kumpa mkopo wa milioni 7 wakati si jina lake halisi.
Mpaka yule mtu amepata haki yake, ilipita miezi 6.
Ila Letshego walikuja kumgundua tapeli baada ya kulinganisha miandiko na yule mama akasema muandiko huo anaufahamu wa mfanyakazi mwenzake ambae ni flani na kufuatilia kweli akakutwa ni yeye.
So tapeli akakamatwa.
We acha tu.Hao jamaa niliwahi kutaka kukopa halafu nikastuka, lakin cha walivyofasta walikuwa tayali wameahaeffect makato na mwezi mmoja wakakata, then nikastop, issue ilikuwa refund ya ile hela, yaan ilikuwa balaa, mpaka nilikata tamaa, ilirudishwa baada ya muda mrefu sanaa, halafu riba zao ni kumtia mteja umaskini kabisa. Hawafai hata kwa kulumangia.
Sina hamu na hao watu kabisa na nikimsikia mtu yeyote anayetaka kwenda Bayport hata nisiyemjua namueleza kama ni wa kuelewa ataelewa, ukikopa kwao hakikisha umeshakuwa mtumwa, kutoka ni ngumu, mkataba wao unaonyesha kuwa ukifanya settlement hela inashuka lkn cha ajabu nimeenda kuomba balance naambiwa natakiwa nilipe ile ile inayosomeka kwenye salary slip jamani kama umebanwa sana afadhali hata uende daisies, nilikuwa na deni faidika linalosoma 8700000,nimekuja kulilipa balance imesoma 3200000 hao kidogo afadhaliSasa kuna kitu hatari kinaitwa "MABOTO" ukiingia tu huna haki! Kulipa kwa mkupuo wanakataa kwa madai kwamba unawakimbia, hawajui watu wanakopa kwa malengo yao, kama wao wanavyolenga kupata faida na kuishi vizuri na familia zao. Nilichogundua hizi taasisi ndogondogo ziko huru sana na hakuna anaezifuatilia na kibaya zaidi wanaamini mteja hana kwa 0q000000 ingawa kuna kaukweli. Nafikiri ni wakati serikali kupitia maafisa utumishi Q sheria ya mtumishi anaetaka kulipa atoe taarifa utumishi wakati anafuatilia ballance, kama kutakua na mizengwe basi wasimamishe makato ili mdai afuatilie yeye na kulipwa pesa yake yote.
Mama Anna mkapa huyoKila siku Bayport harafu serikali kimyaaa sijui Kuna Nini nyuma ya pazia
Some time mkiona watanzania wanalalamika mjue wanahitaji msaada
unataka kuniambia humjui mmiliki wa bayport?Kila siku Bayport harafu serikali kimyaaa sijui Kuna Nini nyuma ya pazia
Some time mkiona watanzania wanalalamika mjue wanahitaji msaada
Daa kumbe ndo Hawa wenyenchi....unataka kuniambia humjui mmiliki wa bayport?