Utapeli wa kampuni ya bayport financial services

Utapeli wa kampuni ya bayport financial services

Gheto's King

Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
11
Reaction score
0
Kampuni hii imekua ikijiendesha kwa ujanja ujanja Wa kudhulumu hali za msingi katika mikataba wanayoingia baina yao na Wateja wao.mfano mteja katika mkataba wake ana kipengele cha Ku clear deni LA mkopo pindi atakapotaka kufanya hivyo, shida inakua kutokea wakati mteja amejaza documents zake zote zinazohitajika kwa ajili ya kupata hiyo quotation toka makao makuu, mteja akishajaza kwenye branch aliyoombea mkopo, fomu zile hutumwa mako mkuu kupitia kwa zonal manager mfano kwa Kilimanjaro zonal manager yupo Arusha,

Then huyu huyaprocess maombi kwenda makao makuu, then makao makuu wanapaswa akupe balance yako kupitia kwa zonal manager, kila kinachotoke hapo ni kua zonal manager au makao makuu wanakalia hizi documents hawakupi chochote then mteja unaendeleaje Ku subiri ukidhani walafanyia kazi kumbe washaachana Nazo. Hapo wanaendelea kukukata kama kawaida. Kwa lugha rahisi wana vunja mikataba na hakuna MTU Wa kuwafatilia tu naomba mamlaka zinazohusika na ufatiliaji Wa makumpuni hata yanayofanya biashara na namna hii hawa hawa Bayport wamulikwe kwa hicho LA kipekee ni zaidi ya matepeli waliokubuhu.

On the same time fomu zao wanaandika maombi yako yatafanyiwa kazi ndani ya siku 7za kazi lakini waweza kaka hadi mwaka usione chochote. Bayport acheni wizi ndio mana Wateja wenu wengi wanakwambia sababu biashara yenu kila MTU amegundua INA wizi ndani yake. Na nadhani ni vyema sasa hivi muwe unaburuzwa hadi mahakamani kwa utapeli huu Wa wazi kabisa. Wezi nyinyi. Zonal manager Wa Kanda ya kaskazini ofisini ya Arusha una shida kubwa sana
 
Bayport ni kama chatu na waalimu/watumishi wa umma ni kama mbwa

Mbwa akimuona chatu anajipeleka mwenyewe.

Sijajua kwanini watu wapigwe riba kubwa kiasi hicho na bado hawaogopi kukopa.
 
Hao Bayport ni wezi na matapeli, usipokuwa makini utapigwa mno, kuna nesi moja alikopeshwa million 3 anakatwa 150,000 kila mwezi kwa miaka 6, yaani riba ni zaidi ya 300% 7
Kuweni makini nao
Kuna hawa majamaa mengine wanajiita B Blue
Ofisi zao zilikuwa pale Raha tower Posta.
Aisee hawa ndo naona wanaongoza wakifuatiwa na Bayport pamoja na ile ya pale Morocco near hospital ya watoto.
B Blue ilikuwa ukimaliza deni, wanatulia kama mwaka hivi kisha wanaliibua tena.
Na ukienda kufatilia unaonyeshwa mkataba mpya kabisa ambao hujui ulijaza lini, ila mwandiko na sign ni wewe kabisa.
Sijui walikuwa wanafanyaje.
Mimi ni muhanga wa hawa B Blue.

Ila sidhani kama ipo hai...maana ililalamikiwa sana.
Labda kama walijirekebisha ila waliniliza sana.
Mara 3 walikuja kukata makato.
Halafu kipindi hiko unasign mkopo bila kuweka passport size yako.

Basi unafoji tu sahihi na jina la mfanyakazi mwenzako mnoko, kisha unachukua mkopo kupitia jina lake.
Salary slip ikija mwisho wa mwezi, anashangaa anakatwa makato wakati hajawahi omba mkopo.

Nakumbuka Letshego walimsainia mtu na kumpa mkopo wa milioni 7 wakati si jina lake halisi.
Mpaka yule mtu amepata haki yake, ilipita miezi 6.
Ila Letshego walikuja kumgundua tapeli baada ya kulinganisha miandiko na yule mama akasema muandiko huo anaufahamu wa mfanyakazi mwenzake ambae ni flani na kufuatilia kweli akakutwa ni yeye.
So tapeli akakamatwa.
 
Hao jamaa niliwahi kutaka kukopa halafu nikastuka, lakin cha walivyofasta walikuwa tayali wameahaeffect makato na mwezi mmoja wakakata, then nikastop, issue ilikuwa refund ya ile hela, yaan ilikuwa balaa, mpaka nilikata tamaa, ilirudishwa baada ya muda mrefu sanaa, halafu riba zao ni kumtia mteja umaskini kabisa. Hawafai hata kwa kulumangia.
 
We acha tu.
Wanatia umaskini sana.
Afu ndani ya masaa 3 ushapata mkopo.
Ila majuto yake ni balaa
 
Sasa kuna kitu hatari kinaitwa "MABOTO" ukiingia tu huna haki! Kulipa kwa mkupuo wanakataa kwa madai kwamba unawakimbia, hawajui watu wanakopa kwa malengo yao, kama wao wanavyolenga kupata faida na kuishi vizuri na familia zao. Nilichogundua hizi taasisi ndogondogo ziko huru sana na hakuna anaezifuatilia na kibaya zaidi wanaamini mteja hana kwa 0q000000 ingawa kuna kaukweli. Nafikiri ni wakati serikali kupitia maafisa utumishi Q sheria ya mtumishi anaetaka kulipa atoe taarifa utumishi wakati anafuatilia ballance, kama kutakua na mizengwe basi wasimamishe makato ili mdai afuatilie yeye na kulipwa pesa yake yote.
 
Sina hamu na hao watu kabisa na nikimsikia mtu yeyote anayetaka kwenda Bayport hata nisiyemjua namueleza kama ni wa kuelewa ataelewa, ukikopa kwao hakikisha umeshakuwa mtumwa, kutoka ni ngumu, mkataba wao unaonyesha kuwa ukifanya settlement hela inashuka lkn cha ajabu nimeenda kuomba balance naambiwa natakiwa nilipe ile ile inayosomeka kwenye salary slip jamani kama umebanwa sana afadhali hata uende daisies, nilikuwa na deni faidika linalosoma 8700000,nimekuja kulilipa balance imesoma 3200000 hao kidogo afadhali
 
Nadhani tukipiga kelele sana, wateja wapya watashtuka hawatakopa tena. Lengo letu wafilisike kabisa mbwa hawa.
 
Kila siku Bayport harafu serikali kimyaaa sijui Kuna Nini nyuma ya pazia
Some time mkiona watanzania wanalalamika mjue wanahitaji msaada
 
Na kwa sasa wamerudi kwa kasi ya ajabu! Sijui wanapata wapi namba za watumishi wa umma. Hawana hata chembe ya aibu wanapo kushawishi. Hata niwe na shida ya aina gani, haitakuja itokee siku nikakopa kwenye hizo taasisi za kifedha kama bayport, platinum, maboto, magori, nk.

Benk zimejaa tele. crdb, nmb, nbc, nk.
 
Back
Top Bottom